Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

I just found this on AliExpress:
TZS1,387,561.30 | Xiaomi Redmi Turbo 3 5G 6.67” 1.5K 2712*1220 Display Snapdragon 8s Gen 3 50MP+20MP Camera 90W 5000mAh China Rom

View attachment 3374364
Angalizo! Hizi sumu ni Chinese version, na kwasasa uwezekano wa ku unlock bootloader na kuweka globe rom haupo, labda uchukue used ndio utapata tayari wameweka globe rom.
Naskia kuna service za kutoa bootloader ila za kulipia, sijafuatilia.

Sema siku hizi ku unlock bootloader unless simu sio main driver not worth it, app zote za benki na miamala ya simu ukitrip safety net zinaanza kuzingua.
 
Ni kweli kabisa! Ku unlock bootloader hasara ni nyingi kuliko faida, hata iwe free siihitaji kwa sasa.
 
Naskia kuna service za kutoa bootloader ila za kulipia, sijafuatilia.

Sema siku hizi ku unlock bootloader unless simu sio main driver not worth it, app zote za benki na miamala ya simu ukitrip safety net zinaanza kuzingua.
Bilq hata kwenda mbali, NMB mkononi kwenye simu yangu inazingua kama nikiwasha Developer Option. Inataka nizime kwanza Developer options
Na hiyo Bootloader Unlocking pia ndo nasikia hivyo, kwamba uki unlock bootloader hizo app zinazingua pia
 
Ukiwa mtaalam wa magisk zipo addons za ku hide, Nina Op7 ina root natumia Magsik Alpha na addons mbalimbali ku hide.

Sema ndio mnakimbizana, wakitoa update mpya ina goma, unaanza tena kutafuta solution wee, sometime ni usumbufu hasa kama unatumia simu yako kujiingizia kipato.

Hao Nmb app yao ni ya kijinga tu, ina goma simu kibao hata kama hazina tatizo, Nina s22U haijaguswa, sio hata refurb ila wanasema ina root app ina exit, hata Developer option haipo on. Angalia rating ya app yao store ilivyo ndogo.
 
Sema huenda imetengenezwa na ma IT wa Bongo ndo maana ipo hovyo
Ila rating yake Playstore sio mbaya ina 4.2
 
Tutakua Tunaongelea app tofauti, Naongelea hii
Yeah... Si ndio hiyo ina 4.2 au kwako inaonesha ngapi
Screenshot_2025-06-23-18-23-56-762_com.android.vending-edit.jpg

Sema Wabongo ndo shida. Naona hapo mtu anaponda kwenye comment halafu ameipa 5 star rating
 
Nina Redmi note 10 pro, naona mfuniko wa nyuma haufungi tena vizuri, nimepeleka kwa fundi acheki, kaniambia ni betri imevimba..
 
Badilisha betri weka jingine. Kama bado unaipenda unaendelea kuitumia kama umeichoka unaiuza. Ila badili betri kwanza
Tatizo betri za bongo naona ni famba, betri 40000 siyo shida ila changamoto naona mda si mrefu zitajirudia,

Nataka ninunue betri origino yake BN57, sasa hawa wa madukani wataweka betri wanayoona utafiti wakati haitakua na ubora.

Hiyo BN57, nataka niagize online mda si mrefu
 
Sema huenda imetengenezwa na ma IT wa Bongo ndo maana ipo hovyo
Ila rating yake Playstore sio mbaya ina 4.2
Crdb pia ni mbongo alietuliza akili na ni mtoto wa waziri mmoja ambaye wasanii wa kale walimtungia dadaake nyimbo alipopigwa ujauzito akiwa skuli hapo jiji la maraha
 
Back
Top Bottom