Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice

Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .

Gwuap msaada wako wa haraka jinsi ya kuweka play store unahitajika.
 
Samahani natoka nje ya mada. External ya toshiba 1TB inaweza kuwa bei gan nkiagiza mpka naipata mkononi
Kama ukiagiza mwenyewe andaa 150,000-155,000 ila kuagiziwa Inategemea utamlipa sh ngapi mtoa Huduma wako!!
1077787

Hapo kwenye duara inanyesha USD 62.71 ila exchange rate za aliexpress zaweza tofautiana na za benk utumiayo pia watakukata transaction fee hivyo Inafika gharama ya hapo juu.
 
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice

Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .

Pitia hapa[emoji116]
how to install playstore on Redmi note 7 pro

Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Earphone na screen protector zinakuwa hazipo kwenye original package. Kwa earphone original za xiaomi zipo za elfu ishirini hadi za laki na zaidi zenye noise reduction na protector nzuri zinaanzia $7,...
426367622-904132682.jpeg
461B5601B57DE780.png
 
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Vitu vyote ni kuagiza tu mkuu, tena unabahati una version ya kichina sababu zina features za ziada na updates utapokea faster kuliko zingne
 
Baada ya muda mrefu kusoma nyuzi hapa za wadua nami kwa mara ya kwanza nimeamua kuagiza mzigo AliExpress nimeanza na case ya redmi note 7 yangu

Nimefanya malipo jana, leo mapema seller akaship mzigo
IMG_20190422_194747.jpeg
 
Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi

Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Katika matumizi ya simu yako mpya unaona kitu gani kizuri uki compare na brand nyingine? Tiririka!
 
Back
Top Bottom