Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Duuuh mashine moja matata sana mkuu kwa Ma GAMERS
But sijaiona Aliexpress, naona Accessories tu ,ulichukulia wapi hiyo??
Nimenunua katika local store hapa mjini
Me nilinunua hii sim only for Pubg fortnight and staff like that
Trust me sijawai experience perfomance ya juu on online multiplayer gaming zaidi ya hii sim

Kama unahitaji kununua nikupe faida na hasara nilizoziona kabla hujanunua
Faida:
- Iko faster (6GB of ram + SD 825)
- Haina Bloatware just google apps and some needed apps in oder system to run (Hii imenivutia sana)
- 4000ah battery
- Muonekano wake. Blackshark nimeipenda sana muonekano wake pamoja na S logo ya nyuma nina 6 month nw sijaweka case
- Front mounted fingerprint. Personally sipendi fingerprin nyuma ya sim
- GPU. Alway graphic option naweka ultra Game kama Pubg ni muhim sana
- Shark space. Ukiweka hii on inafunga apps zote zilizo wazi na kuzuia zisirun background, inazuia call na notification yoyote isikudistub
Zipo nyingi zaidi kwavile ni gaming phone ndani ya box kuna lef controler ambayo una attach na sim

Hasara:
- You can not extend storage (Huwez kueka micro sd card )
- No headphone jack ila unaweza kutumia 'usb type c to 3.5 mm h.p jack ambayo wanakuekea kwenye box
- Kwa wale wazee wa kuroot ni complicated kidogo na mpaka leo no available CM rom ambayo ni public
- Haitumi MUI so unamiss features nyingi (hii ndio imenikera zaidi)
- Screen to body ration. Ina muonekano kilocal kdg

Pamoja na hayo sijajutia kuinunua hii simu inatimiza kila mahitaji yangu yote ya simu
 
Acha tu! Kuna simu ya mdau hapa, siku 23 sasa haijatumwa, huyu fantacy technology inaonekana amezidiwa sasa.
Mie baada ya kubwekeana naye kaiship siku 18 ila tracking ilikuwa inaonyesha "parcel ready for dispatch" tangu 11/04 leo ndio inasema shipment at country origin warehouse so ni Msoto zaidi ya mwezi.
Yaani 18+13= 31 days na bado Msoto unaendelea
 
Kwa mimi itanifaa sana mkuu,napenda games nzito nzito za simu ,niliona Reviews zake Youtube,ninaipenda munoooo
But Inaenda na ngapi?? Kwa bei ya TZ?
 
Chief leo nimejifunza tricks ngeni kwangu na nimezidi kuipenda hii simu

Nimepata feature inaitwa second space
Hii ni balaa yaani simu moja ila matumizi tofauti Setting za matumizi ya huku ni tofauti na ya kule.... [emoji3][emoji3] yaani simu inakua na muonekano unaotaka kiasi hata mtu hawezi jua kama hii ndo ile yenye password au ndo ile yenye vitu private

private massage hii unaficha msg za mtu fulani zisiwe wazi
kwangu hii itanisaidia kwenye mambo yangu fulani [emoji3]

Bado naendelea kupokea maujuzi
Sawa mkuu
 
Dual app, unatumia?
 
Shukrani mkuu Gwuap kwa msaada wako nimefanikiwa kuweka playstore kwenye redmi 4a yangu!

Sent using My Xiaomi Redmi 4a
 
Inamaanisha kwamba anategemea zaidi namba ya simu yaani mzigo Ukifika unabaki posta Kuu na atapigiwa simu kupita namba yake aliyoisajili aliexpress.
Kwa hiyo mzigo ukifika wanaweka kwenye sanduku lako?
Mzigo kama simu unatosha kwenye kile kibox?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…