Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 845
- 722
Duuuh mashine moja matata sana mkuu kwa Ma GAMERSWakuu mie nina black shark nakaribishwa hapa?
But sijaiona Aliexpress, naona Accessories tu ,ulichukulia wapi hiyo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh mashine moja matata sana mkuu kwa Ma GAMERSWakuu mie nina black shark nakaribishwa hapa?
Kama vipi iyeyushe tu humu hukosi mdau wa kuibeba jumla hiyo.
Mi mwenzio bado nasotea niliyoiagiza kitambo
Nimenunua katika local store hapa mjiniDuuuh mashine moja matata sana mkuu kwa Ma GAMERS
But sijaiona Aliexpress, naona Accessories tu ,ulichukulia wapi hiyo??
Mie baada ya kubwekeana naye kaiship siku 18 ila tracking ilikuwa inaonyesha "parcel ready for dispatch" tangu 11/04 leo ndio inasema shipment at country origin warehouse so ni Msoto zaidi ya mwezi.Acha tu! Kuna simu ya mdau hapa, siku 23 sasa haijatumwa, huyu fantacy technology inaonekana amezidiwa sasa.
Kwa mimi itanifaa sana mkuu,napenda games nzito nzito za simu ,niliona Reviews zake Youtube,ninaipenda munooooNimenunua katika local store hapa mjini
Me nilinunua hii sim only for Pubg fortnight and staff like that
Trust me sijawai experience perfomance ya juu on online multiplayer gaming zaidi ya hii sim
Kama unahitaji kununua nikupe faida na hasara nilizoziona kabla hujanunua
Faida:
- Iko faster (6GB of ram + SD 825)
- Haina Bloatware just google apps and some needed apps in oder system to run (Hii imenivutia sana)
- 4000ah battery
- Muonekano wake. Blackshark nimeipenda sana muonekano wake pamoja na S logo ya nyuma nina 6 month nw sijaweka case
- Front mounted fingerprint. Personally sipendi fingerprin nyuma ya sim
- GPU. Alway graphic option naweka ultra Game kama Pubg ni muhim sana
- Shark space. Ukiweka hii on inafunga apps zote zilizo wazi na kuzuia zisirun background, inazuia call na notification yoyote isikudistub
Zipo nyingi zaidi kwavile ni gaming phone ndani ya box kuna lef controler ambayo una attach na sim
Hasara:
- You can not extend storage (Huwez kueka micro sd card )
- No headphone jack ila unaweza kutumia 'usb type c to 3.5 mm h.p jack ambayo wanakuekea kwenye box
- Kwa wale wazee wa kuroot ni complicated kidogo na mpaka leo no available CM rom ambayo ni public
- Haitumi MUI so unamiss features nyingi (hii ndio imenikera zaidi)
- Screen to body ration. Ina muonekano kilocal kdg
Pamoja na hayo sijajutia kuinunua hii simu inatimiza kila mahitaji yangu yote ya simu
Mimi nilinunua 900k ila naimani kwa dar inafika 1mKwa mimi itanifaa sana mkuu,napenda games nzito nzito za simu ,niliona Reviews zake Youtube,ninaipenda munoooo
But Inaenda na ngapi?? Kwa bei ya TZ?
Sawa mkuuMimi nilinunua 900k ila naimani kwa dar inafika 1m
Sawa mkuu
Dual app, unatumia?Chief leo nimejifunza tricks ngeni kwangu na nimezidi kuipenda hii simu
Nimepata feature inaitwa second space
Hii ni balaa yaani simu moja ila matumizi tofauti Setting za matumizi ya huku ni tofauti na ya kule.... [emoji3][emoji3] yaani simu inakua na muonekano unaotaka kiasi hata mtu hawezi jua kama hii ndo ile yenye password au ndo ile yenye vitu private
private massage hii unaficha msg za mtu fulani zisiwe wazi
kwangu hii itanisaidia kwenye mambo yangu fulani [emoji3]
Bado naendelea kupokea maujuzi
![]()
Dual app, unatumia?
Shukrani mkuu Gwuap kwa msaada wako nimefanikiwa kuweka playstore kwenye redmi 4a yangu!Njia nyepesi kbs na ya haraka nenda kwenye app store ya Xiaomi ipo hapo katka apps then search neno Google install hyo app yenye rangi rangi na alama ya playstore baada ya hapo ifungue bonyeza kwenye dot cha blue kama ilvoonyesha chini itainstall apps muhimu za Google, framework na mwisho playstore...hakikisha una mb zakutosha na network ilyo nzuri pindi ukianza kuinstall hizo appView attachment 1079160
Daah kitu changu cha mwanzoni hicho kukitia mkononi kabla sijamuachia mdau Enzi zile.Shukrani mkuu Gwuap kwa msaada wako nimefanikiwa kuweka playstore kwenye redmi 4a yangu!
Sent using My Xiaomi Redmi 4a
Unaipokea wap mkuu?Baada ya muda mrefu kusoma nyuzi hapa za wadua nami kwa mara ya kwanza nimeamua kuagiza mzigo AliExpress nimeanza na case ya redmi note 7 yangu
Nimefanya malipo jana, leo mapema seller akaship mzigo View attachment 1078449
Unaipokea wap mkuu?
Umeelekeza Sanduku la posta makao makuu?Posta
Ila sina Sanduku La posta
Umeelekeza Sanduku la posta makao makuu?
Noma sana yaani usipopigiwa simu ndio umeshalizwa boss.Address nimeweka posta ya eneo nilipo sijaweka sanduku la posta
Inamaanisha kwamba anategemea zaidi namba ya simu yaani mzigo Ukifika unabaki posta Kuu na atapigiwa simu kupita namba yake aliyoisajili aliexpress.Umeelekeza Sanduku la posta makao makuu?
Kwa hiyo mzigo ukifika wanaweka kwenye sanduku lako?Inamaanisha kwamba anategemea zaidi namba ya simu yaani mzigo Ukifika unabaki posta Kuu na atapigiwa simu kupita namba yake aliyoisajili aliexpress.