The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Duuuh mkuu umeshusha sana yan..haiwezekan kwa jins ilivyo oneplus 7 pro iwe kuanzia 300usd. Xiaomi Mi9 ni bei gani kama wajuaSimu ikishavuka $400 - $500 tunaitoa kwenye mid range phones...Hiyo simu ni ghali mkuu labda unafuu wake upo ukicompare na flagships zinazouzwa $900 mpaka $1000.
Kinachoipa sifa kampuni ya xiaomi ni kwamba Xiaomi atakupa simu yenye features sawa na hizi flag ship kama hiyo one plus 7 pro kwa $300 - pre $500 . Kitu kinachofanya hizi kampuni kubwa kuonekana zinaover price simu zake kwa kutumia tu brand yake.
Itakua wamefikiria hivyoNahisi watafanya mapinduzi kwa Pocophone f2...maana wameedelay kwa muda kidogo ili wasome mchezo unaendaje.
Mkuu hiyo OnePlus imeizidi nini Mi 9 se mbona specs zinakaribiana ila Bei ya OnePlus ipo juu sana?Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.
4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Rejea maandishi yangu hapo juu mid rage phone haivuki $400 - $500 .Duuuh mkuu umeshusha sana yan..haiwezekan kwa jins ilivyo oneplus 7 pro iwe kuanzia 300usd. Xiaomi Mi9 ni bei gani kama wajua
Hii itakuwa Pocophone 2nd generation. Ila bado hawajaweka wazi ni lini.Naona Xiaomi nao wanajipanga kuwapiku oneplus. Tusubr tuone yao. Ni aina ipi au toleo gani wanatoa this yr na mwez gani?
OnePlus 7 Pro ina Snapdragon 855 na Mi 9 SE ina Snapdragon 712, overall OnePlus itakuwa na nguvu zaidi!Mkuu hiyo OnePlus imeizidi nini Mi 9 se mbona specs zinakaribiana ila Bei ya OnePlus ipo juu sana?
View attachment 1098140
[emoji3] Sawa ndugu ila xiaomi simu zao ni nafuu sanaOnePlus 7 Pro ina Snapdragon 855 na Mi 9 SE ina Snapdragon 712, overall OnePlus itakuwa na nguvu zaidi!
View attachment 1098153View attachment 1098154
Mi 9 SE ni kama lite version ya Mi 9 yenyewe.
Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhanaMkuu hiyo OnePlus imeizidi nini Mi 9 se mbona specs zinakaribiana ila Bei ya OnePlus ipo juu sana?
View attachment 1098140
Sio lazima kucompare ila you can dare !... Kwakuwa parameter zipo ...You can compare anything of tech running the same operation hata kama zina performance rate tofauti.Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhana
Una maana gani mkuu?Hiyo Mi9 se kwanza ni lowest variant kweny Mi 9 series..kwahy mtoe kabsa. Xiaomi atabak unbeatable kweny hizo mid range phones tuu. Tuache kufananisha Xiaomi na simu za maana bhana
Kabisa! Ya kuifananisha na hiyo OnePlus 7 ni Mi 9, zote zina Snapdragon 855 (7nm) & AMOLED screen. Still Xiaomi is affordable![emoji3] Sawa ndugu ila xiaomi simu zao ni nafuu sana
Ngoja tu tuamie Mi A2 yenye Stock Android. Hizi za ku download majanga tu! [emoji41]Kwa wale wazee wa Picha Picha Gcam inatoa picha kali sana hasa za usiku ila tu mitit kuiweka kwenye RN6 PRO Japo watu RN7 inakubali bila ya process nyingi.
Mkuu mimi sikuelewi kabsa. Kuna baadhi ya simu mim ntaendelea kuzingangania tuu hata niambiwe vpi. Simu ambayo staki kuishika ni Iphone tu basiSio lazima kucompare ila you can dare !... Kwakuwa parameter zipo ...You can compare anything of tech running the same operation hata kama zina performance rate tofauti.
Mkuu mimi sikuelewi kabsa. Kuna baadhi ya simu mim ntaendelea kuzingangania tuu hata niambiwe vpi. Simu ambayo staki kuishika ni Iphone tu basi
Hehe..angalau huyu Mi 9. Tupo pamojaNg'ang'ania tu kile ukipendacho! Hakuna shida wala! Sie ngoja tubaki na mchina wetu Xiaomi.
View attachment 1098853
Kwa wazoefu simu tofauti hizi brand zilizozoeleka: Vipi kuhusu hizi brand kuhusu ubora au nazo ni jamii ya TECNO
1.VIVO
2.ZTE NUBIA
3.MEIZU
Hao wanaitwa wa china wazuri wazuri hawafanani na tecnoKwa wazoefu simu tofauti hizi brand zilizozoeleka: Vipi kuhusu hizi brand kuhusu ubora au nazo ni jamii ya TECNO
1.VIVO
2.ZTE NUBIA
3.MEIZU