daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kati ya laki 7.5 hadi 8.0Na Note 7 pro kiasi gani..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya laki 7.5 hadi 8.0Na Note 7 pro kiasi gani..?
Swali zuri, ngoja tusubr elimu juu ya hili jamboWakuu nilikuwa nalipia kununua simu ya Redmi 7 Aliexpress, nimetumia M master card. Sasa wakati nalipia Mara ya kwanza nilambiwa salio halitisho. Nikaongeza hela kiasi Cha Kama elfu 15. Wakati na lipia nilivyo bonyeza pay now baada ya kujaza taarifa za kadi Yangu. Imeload kidogo halafu ika kata na kuandika UNPAID. Je Nini Ni tatizo maana nimejaribu Mara kadhaa ikifika hapo tuu ina load kwa mda halafu inarudi kwenye order na kuandika UNPAID.
Wenye uzoefu. Order Yangu ina cost 122.63.$ account ina laki 3 na 8000.
Kweli Mkuu yaani nilikuwa natumia card ya Equity nikaona Kama ina Tatizo nimehamia huku the same thing. Nimechoka hapa.Swali zuri, ngoja tusubr elimu juu ya hili jambo
Hiv ni benk gani ipo fresh kwa online purchase? Nimetesekea Crdb hadi nimekata tamaaaKweli Mkuu yaani nilikuwa natumia card ya Equity nikaona Kama ina Tatizo nimehamia huku the same thing. Nimechoka hapa.
Wakuu nilikuwa nalipia kununua simu ya Redmi 7 Aliexpress, nimetumia M master card. Sasa wakati nalipia Mara ya kwanza niliambiwa salio, hivyo nikaongeza hela kiasi Cha Kama elfu 15. Wakati na lipia nilivyo bonyeza pay now baada ya kujaza taarifa za kadi Yangu. Imeload kidogo halafu ika kata na kuandika UNPAID. Je Nini Ni tatizo maana nimejaribu Mara kadhaa ikifika hapo tuu ina load kwa mda halafu inarudi kwenye order na kuandika UNPAID.
Wenye uzoefu. Order Yangu ina cost 122.63.$ account ina laki 3 na 8000.
BancABC wapo vizuri sana! kupata ile Prepaid Visa Card ya TZS ni elfu kumi na tano na ya USD ni dollar 20 pekee. Pia jaribu Exim Bank wanatoa prepaid card ndani ya muda mfupi kwa gharama ya elfu kumi tu.Hiv ni benk gani ipo fresh kwa online purchase? Nimetesekea Crdb hadi nimekata tamaaa
Sawa. Shida huku Moshi sijaiona hiyo bankBancABC wapo vizuri sana! kupata ile Prepaid Visa Card ya TZS ni elfu kumi na tano na ya USD ni dollar 20 pekee.
Basi nenda Equity au Exim.Sawa. Shida huku Moshi sijaiona hiyo bank
Equity ya Moshi hapa nao ni wale wale tuu, kufatana sana. Labda nijaribu EximBasi nenda Equity au Exim.
EQUITYHiv ni benk gani ipo fresh kwa online purchase? Nimetesekea Crdb hadi nimekata tamaaa
Shukhrani!EQUITY
Katika bank zenye customer service nzuri equity ni mojawapo boss, sasa sijui huko shida ni nini? Au wewe utakuwa haujakidhi vigezo vya kufungua ac? Maana wao wanachohitaji ni ID yako tu!Equity ya Moshi hapa nao ni wale wale tuu, kufatana sana. Labda nijaribu Exim
Kuna siku buddy alienda kufatlia ila akawa anasumbuka kwa ile card kua accessible na online purchase mana iliwezeshwa na haikufanya kazi, hivyo alienda sana pale ofcn kwao. Ni mwaka jana July, ntaenda na mimi wanifanyie huo mchakatoKatika bank zenye customer service nzuri equity ni mojawapo boss, sasa sijui huko shida ni nini? Au wewe utakuwa haujakidhi vigezo vya kufungua ac? Maana wao wanachohitaji ni ID yako tu!
Kadi za equity zinakuwa tayari zina access ya kufanya online payment, sema wanaweka limit ya TZS 270k. Unachotakiwa ni kuomba fomu ya kuongeza kiwango ambacho unataka wewe mwenyewe kufanya payment mtandaoni.Kuna siku buddy alienda kufatlia ila akawa anasumbuka kwa ile card kua accessible na online purchase mana iliwezeshwa na haikufanya kazi, hivyo alienda sana pale ofcn kwao. Ni mwaka jana July, ntaenda na mimi wanifanyie huo mchakato
Hiyo mi band ni kwa matumizi gani hasa kwa mazingira yetuAsante msauziya aka mr mobile nimerudi nikiwa na mi band 3 na redmi 7mpya
Pandagichiza gugoHiyo mi band ni kwa matumizi gani hasa kwa mazingira yetu
Asante msauziya aka mr mobile nimerudi nikiwa na mi band 3 na redmi 7mpya