Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mzigo wa redmi 7 sio wa kawaida kitu inatunza chaji mpaka nachanganyikiwa Niko online kwa masaa kumi nw mzigo bado haujakata chaji nakupenda Xiaomi forever.Je tufanyaje nasi ili kuweza kuwashawishi wachina watufungulie soko hapa hapa bongo ili tuweze pata bidhaa zote hapa pasipo kuagiza nje
kwenye utunzaji wa chaji inategemea na matumizi yako, mfano: apps ulizonazo, ikiwa mtu ana apps 450, 100 zipo online, itachukua mda gani battery kukataa, video quality unazoangalia, na mengineyo, ukitaka kujua vizuri zaidi ingia youtube, utaona jinsi battery ya simu yako inavyotestiwa kitaalamu kabisa.
 
Haya nimekupata hakuna shida nitarizama au weka kwa faida ya wanajamiiforum wengine pia
 
Back
Top Bottom