Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu pandagichiza hebu Kwanza funguka mpaka leo hujapata Tu Xiaomi ?Kama unakwama basi unakwama wapi.tofauti kati ya remix 7na redmi note 7ni features Tu na uwezo wa simu .binafsi yangu sijawahi kushika hiyo note7
 
Sio mbwembwe mkuu, hiyo ni fitness tracker inaweza ku monitor daily activities,... wewe wacheki wahindi/wachina na nchi zilizoendelea wengi wanapenda sana kuvaa hizi kitu, Dunia inaenda kasi sanaa, kama haujawahi tumia hauwezi kuona umuhimu wake. Pia kama wewe ni mwana mazoezi inafaa sana hii kitu, inahesabu mapigo ya moyo, kiasi cha calories kilicho chomwa. Kuna zingine zinapima hadi blood oxygen, blood pressure, pia una uwezo wa ku schedule events mbalimbali na kuweza kuku-notify Kwa vibration, mf: Mi band 4 ina microphone, so unaweza kuitumia kwenye voice assistant, pia zipo ambazo zimeenda mbali zaidi na kuwasaidia dada zetu kujua mzunguko wa siku zao za kila mwezi,...
Ni hayo tu kwa ufahamu wangu
 

Attachments

  • F077F54FDA96BBA6.jpeg
    24.9 KB · Views: 42
Kariakoo longo longo tu.
Kuna mdau humu alidai anazo protector za one plus but Ile nafika dukani kwake ananiambia subiri nikakuchukulie akanikalisha saa nzima na protector lenyewe sikuliona.
Ma winger hao tunawaita wazee wa machimbo kuna jamaa alishawahi nidandia na Mi yangu oooh zipo hizo nazijua kwenda kule ananionyesha madude ya Tecno nikampa buku nikasepa wakati hayo machimbo alonipeleka nami nayafahamu vizuri na najua kama k/koo huwezi pata vifaa vya hii Brand na hata ukikuta basi bei itakuwa mkasi sana.
 
Hapa ngoja niende likizo nikirudi nanunua Xiaomi mi note 7 ni simu bomba sana [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…