Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nimeagiza Smart Watch
 

Attachments

  • LEMFO-2019-New-ECG-PPG-Smart-Watch-Men-IP67-Waterproof-Sport-Watch-Heart-Rate-Monitor-Blood.jpg
    LEMFO-2019-New-ECG-PPG-Smart-Watch-Men-IP67-Waterproof-Sport-Watch-Heart-Rate-Monitor-Blood.jpg
    131.4 KB · Views: 41
Hivi kazi kubwa ya Mi cloud ukiachana na kutunza data ni ipi?
Je inaweza ikasaidia pale mtu unapopoteza kifaa chako na akaipata mtu akafuta/Factory Hard Reset je inaweza kuwa na security kama ya i cloud kwamba mtu hawezi ku access tena au inawezekana ku bybass je Xiaomi wameweza kupambana na hili vizuri la security asiweze ku access yeyote isipokuwa yule Muhusika mwenye password na user name ya hiyo Mi Account!!
 
Back
Top Bottom