Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kama tension ya China na USA itaendelea hivi , muda si mrefu hizo kitu zitakuwa toys. Quote my post
 
Wakuu hapa tatizo ni nini kuna app haiwezi fanya kazi bila kuipa accessibility na nikiipa inatokea pop up kama hii chini kabisa.🤔

Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Mr. Mobile
Screenshot_2019-06-21-20-51-57-604_com.android.settings.png
 
Umejaribu kufunga apps kwanza na kisha kutoa ruhusa kama hayo maneno yanavyosema hapo chini?
Nimefungua app nimetoa ruhusa zote ila bado ngoma ngumu asee na si app hyo ni zote zinazohitajo accessibility

Au labda mimi sijaelewa inahitaji nini hiyo pop up?
 
Nimefungua app nimetoa ruhusa zote ila bado ngoma ngumu asee na si app hyo ni zote zinazohitajo accessibility

Au labda mimi sijaelewa inahitaji nini hiyo pop up?
I mean ku force stop app husika ama app nyengine ambazo zipo on muda huo, click multitasking then close all, halafu urudi na kutoa ruhusa
 
Back
Top Bottom