Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako
Mkuu kamera nimedownload kila nikiifungua. Kabla ya kupiga picha inakua inajizima yaani inakata
 
Pia mkuu Chief Mkwawa hebu nisaidie maana nawe mjuzi wa vitu vingi nimpatie link sahihi ya kudownload hiyo gugo camera natumia redmi 7hapa
 
Haya kweli masihara
Home bouy wangu nipange nipange kaka tuzamie huko huko China tukawasaidie jamaa kutengeneza.Halafu homebouy tufanye nini ili tajiri wetu abadili muundo wa chaja wa xiaomi .?yaani zisiingiliane kabisa na simu yeyote ile maana sasa hivi mahausigirl and bouys wanaziharibu Tu Kwa kudhani chaja hizo zilisahau kwa wageni waliofikia na wakazisahau .Mamaake niko na 48percent hapa tangu wavaa suruali fupi walipoingia msikitini kwa mara ya kwanza
 
Ipo vizur sana..haiba ya google pixel phones
Za pixel habari nyingine mkuu! Huo ni mfano tu.
IMG_20190627_222538.jpeg
IMG_20190625_103703.jpeg
IMG_20190626_224633.jpeg
 
Megapixel sio issue,na ndomana hiyo yenye megapixel 48 haifui dafu kwenye hizo simu zilizotajwa
Hapa kwenye mega pixel 48 ya note 7 katumia lens za GM1 za Samsung ambazo ni 12 MP zinazazoweza kumaximize picha mpaka 48mp Ila note 7 Pro katumia lens ya IMX 586 ya Sony ambayo ni true 48MP
 
Hehehe bei yake hyo ni hatari,labda uchukue refurbished unaweza kupata kwa bajeti ya 500k na kuendelea.na kingine naona mnataka midrange phone ziwe na quality kubwa kama flagship ambayo sio sahihi .
Hii ina-cost bei gani na umenunulia wapi.....!?
 
Hehehe bei yake hyo ni hatari,labda uchukue refurbished unaweza kupata kwa bajeti ya 500k na kuendelea.na kingine naona mnataka midrange phone ziwe na quality kubwa kama flagship ambayo sio sahihi .
Sikuwahi zifuatilia hizi simu zaidi ya humu jf kumbe zina bei hivyo, but nimecheki amazon kuna pixel plain ipo njema sema ni ya 2006.
 
Sikuwahi zifuatilia hizi simu zaidi ya humu jf kumbe zina bei hivyo, but nimecheki amazon kuna pixel plain ipo njema sema ni ya 2006.
Wana mid-range wamezitoa mwezi uliopita.... Pixel 3a XL & Pixel 3a ila bei ni mkasi, zinaanzia $399.
IMG_20190625_104054.jpeg
 
Back
Top Bottom