Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Kodi sio kiile Boss ila ni bahati mbaya tu wengi wanaagiza humu wakatwi kodi boss uoga wako tu.
Anyway si mbaya mkuu kama una afford kununua bongo.Na bahati mbaya inaweza kutokea kwangu au kwako so simply nunua tu. Sasa tusiponunua wale wafanyabiashara wa k/koo watamuuzia nani?
K/koo mtaa gani hapo au duka lake linaitwaje?Na bahati mbaya inaweza kutokea kwangu au kwako so simply nunua tu. Sasa tusiponunua wale wafanyabiashara wa k/koo watamuuzia nani?
K/koo mtaa gani hapo au duka lake linaitwaje?
Pale pale mataa
Ukihitaji mawasiliano yao ntakupa nikiangalia risiti yao.
Kama sikosei linaitwa Kashasha matelepho ne.
Hiyo camera umeikuta au umeinstall mkuuHabari ndugu zangu...asee natumia redmi note 7 camera ya GCAM ni hatari nyingine kabisaa
Okay shukran...naomba namba za simu ikiwezekana
Ame-install!!Hiyo camera umeikuta au umeinstall mkuu
Hiyo camera umeikuta au umeinstall mkuu
Wana Accessories zake boss au ni simu tu tupia namba nami PM nitimbe.Nitakutumia kesho mkuu, risiti iko home mi nimetoka kidogo kwa leo.
Kesho angalia inbox kwako utazikuta
Wana Accessories zake boss au ni simu tu tupia namba nami PM nitimbe.
K/koo mtaa gani hapo au duka lake linaitwaje?
Ntapita nione huduma zake boss.AhsantehHizi hapa.
Naweka kw faida ya wengiView attachment 1145128
Note 7 pro wanauza bei gani kkooMwingine huyu yuko posta.
Ila bei sio mchezo
0682497415
Note 7 pro wanauza bei gani kkoo
Sorry boss picha nlizopiga zote sio nzur kuweka jf imenibidi ntoke nje nipige zingine mkuu wangu ambazo ni common...nmeogopa ban kutoka kwako[emoji23][emoji23]View attachment 1138785View attachment 1138786View attachment 1138787View attachment 1138788View attachment 1138790View attachment 1138791
Mkuu kamera nimedownload kila nikiifungua. Kabla ya kupiga picha inakua inajizima yaani inakata
Hiyo camera umeikuta au umeinstall mkuu
Hehe..yan mkuu kwa kusifia hiki kitu hujambo..bado naendelea kujipanga kikamilifu nibebe google pixel 3xl potelea mbali..hehe nijikaze kiume zaid ninyanyue google pixel 4XL inayotoka mwaka huuHapo bado hujapiga kwenye night sight ndio balaa lingeibuka humu,au ungempiga mtu sasa..gcam shidaah