Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

wewe ni kama mimi sipendi masimu makubwa ila kwa xiaomi simu ndogo kabisa ni mi 9 se
Hii simu nilimwagiza mtu uchina nadhani wiki ijayo ntaipokea,Xiaomi Mi 9se 6gb/128 gb imenigharimu kama 7.5k
 
Hii simu nilimwagiza mtu uchina nadhani wiki ijayo ntaipokea,Xiaomi Mi 9se 6gb/128 gb imenigharimu kama 7.5k
Kaka kama unaweza nipe connection zake nwagize headphone mkuu nazihitaji kuagiza online naona mda ni mrefu sana
 
RB772262827SG msaada wakuu niliagiza mzigo huo nikitrack inasema delivery failed shida ni nini alliexpress nmeweka box number la ofisi nilipo by the way nipo LINDI
 
RB772262827SG msaada wakuu niliagiza mzigo huo nikitrack inasema delivery failed shida ni nini alliexpress nmeweka box number la ofisi nilipo by the way nipo LINDI

Mzigo ulishafika tangu Tar 10,July na ikaonekana hukwenda kuufata sasa je umeenda kwenye Box la ofisi kuna kikadi huwekwa humo omba funguo au ulizia hapo Masijara,pia nenda POSTA kawaelezea wata Track na kukupa majibu na kama mzigo umerudishwa ulipotoka utawasiliana na Seller wako atakutumia tena au atafanya refund.
 
shukrani mkuu nimeenda posta nimepata mzigo mwingine ambao nao pia niliagiza huu bado nitaenda tena j3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…