Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji81][emoji81][emoji81]Nyuma ya simu yako
Angalia kwa sasa kwenye Gearbest unaweza ipata kwa 334kUjanja gani?
Mkuu kwa mfano sina sanduku la posta nawezaje kuupata mzigo nikiagiza ?Angalia kwa sasa kwenye Gearbest unaweza ipata kwa 334k
Unaandika Physical AddressMkuu kwa mfano sina sanduku la posta nawezaje kuupata mzigo nikiagiza ?
Kwa maana hiyo posta ya karibu ndo watanipigia simu ili nikachukue mzigo wangu ?Unaandika Physical Address
Kwa maana hiyo posta ya karibu ndo watanipigia simu ili nikachukue mzigo wangu ?
Toa demo ya physical address watu waelewe kwa faida ya wengine piaUnaandika Physical Address
Shukrani mkuu.Ndio, utakuja posta kuu ya wilaya ulipo.
mfanoToa demo ya physical address watu waelewe kwa faida ya wengine pia
AKUMBUKE NAMBA YA SIMU NA JINA LIWE SAHIHI/SAWA NA KITAMBULISHO ATAKACHO KWENDA KUCHUKULIA MZIGO.mfano
Kolomije Magu-Mwanza,
Chato-Geita,
Sengerema-Mwanza
Kyela- Mbeya,
Kondoa-Dodoma..
Mifano ya physical address.
Hahaaaa asante nimeipata percel yangu salama kabisaAKUMBUKE NAMBA YA SIMU NA JINA LIWE SAHIHI/SAWA NA KITAMBULISHO ATAKACHO KWENDA KUCHUKULIA MZIGO.
Zamani Tracking zilikuwa hazina noma ila tangu Global post waboreshe mifumo yao kwa lengo la kupunguza udanganyifu, sasa kila kitu kinakuwa hadharani maana ukichukua mzigo taarifa zinakuwa updated kwenye tracking no kwamba mzigo umechukuliwa na fulani siku fulani na saa fulani.Usipende kuweka track number ya mzigo hadharani. Kama hapa nishajua jina lako kwa kifupi ni YLM
Wazo zuri sana Mkuu ,Naunga Mkono HojaMr mobile ,nakupa kibali rasmi utengeneze group ya telegram nw special Kwa ajili ya watumiaji wa xiaomi products halafu uweke link hapa watu tujiunge moja kwa moja
Hakika ni zuri bingwaWazo zuri sana Mkuu ,Naunga Mkono Hoja
Ngoja tikuchekieHii mpya iliyotoka mi a3 inaeza ikawa bei ngap wakuu?