halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
nasubiria Grobal ikitoka nivute
Redmi note 8proView attachment 1179307
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redmi note 8proView attachment 1179307
Zinauzwa wapi?Redmi note 8proView attachment 1179307
Nafikir bado official release globally.Zinauzwa wapi?
Sio mda wote wata kusms
Mimi wakiwah ni sms mara 1 tu
Zilizobak zote ikawa hadi niende nakuta mzgo ushafka
So kikubwa track mzgo wako tu,,ukifka local post nenda
Sjawah kukutana na kodi..ila kuna baadh ya watu wamekutana na kodi wanapo nunua simuNa ukifika unalipa kodi tena o naomba kuuliza
Sjawah kukutana na kodi..ila kuna baadh ya watu wamekutana na kodi wanapo nunua simu
Unamaanisha Kuanzia R mpaka Z au ?Nimepewa ubuyu kua ukiona mzigo wenye tracking inayoanza R haipaswi kutozwa chochote ila kwa undani ngoja nitawaletea ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu hili.
Huu ni ubuyu kutoka kwa wahusika wa percel wenyewe sio tetesi
Nimepewa ubuyu kua ukiona mzigo wenye tracking inayoanza R haipaswi kutozwa chochote ila kwa undani ngoja nitawaletea ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu hili.
Huu ni ubuyu kutoka kwa wahusika wa percel wenyewe sio tetesi
Mkuu hii ni kwa mizigo midogo midogo.Sidhani kama Tracking number kuanzia na R kunaweza kuwa na uhusiano na kutokulipishwa kodi.
Na R hata China small packet ina RX, China registered kuna RP, Singapore kuna RB... Na kadhalika.
Sasa kwa mfano umenunua Tv ya kwanzia inchi 32 kwenda juu alafu ukasafirishiwa kwa njia hizo alafu Mamlaka ya pato ikae tu kimya mzigo ukipita.
Bado haiingii akilini mkuu
Bado hai make SenseMkuu hii ni kwa mizigo midogo midogo.
Mkuu ndio mama nikasema nitaleta mrejesho kwa umakini zaidi pitia post yangu ndio mama nikasema iko hivyo ila kuna wazo nalipata.Bado hai make Sense
[emoji23][emoji23]
Mkuu ndio mama nikasema nitaleta mrejesho kwa umakini zaidi pitia post yangu ndio mama nikasema iko hivyo ila kuna wazo nalipata.
Sidhani kam watumishi wa idara husika hawapo humu.
Kama wapo na wanaiona uzi huu wapite hapa kutufafanulia zaidi.
Flash deals bado siku 5 alliexpress watauza vitu kwa bei pungufu ya hadi 50%
Wazo zuri sana Mkuu ,Naunga Mkono Hoja
Naomben Link ya kudownload Gcam kwenye android
Kwa Xiaomi hiyo hapo bila ku-unlock bootloader![]()
Kwa Xiaomi hiyo hapo bila ku-unlock bootloader![]()
Mi mwenyew nasubir!Flash deals bado siku 5 alliexpress watauza vitu kwa bei pungufu ya hadi 50%