Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Na ukifika unalipa kodi tena o naomba kuuliza
Sio mda wote wata kusms

Mimi wakiwah ni sms mara 1 tu

Zilizobak zote ikawa hadi niende nakuta mzgo ushafka

So kikubwa track mzgo wako tu,,ukifka local post nenda
 
Nimepewa ubuyu kua ukiona mzigo wenye tracking inayoanza R haipaswi kutozwa chochote ila kwa undani ngoja nitawaletea ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu hili.
Huu ni ubuyu kutoka kwa wahusika wa percel wenyewe sio tetesi
Sjawah kukutana na kodi..ila kuna baadh ya watu wamekutana na kodi wanapo nunua simu
 
Nimepewa ubuyu kua ukiona mzigo wenye tracking inayoanza R haipaswi kutozwa chochote ila kwa undani ngoja nitawaletea ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu hili.
Huu ni ubuyu kutoka kwa wahusika wa percel wenyewe sio tetesi
Unamaanisha Kuanzia R mpaka Z au ?
Maana tracking yangu inaanzia na UB04 Na kuishia na SG
 
Sidhani kama Tracking number kuanzia na R kunaweza kuwa na uhusiano na kutokulipishwa kodi.
Na R hata China small packet ina RX, China registered kuna RP, Singapore kuna RB... Na kadhalika.
Sasa kwa mfano umenunua Tv ya kwanzia inchi 32 kwenda juu alafu ukasafirishiwa kwa njia hizo alafu Mamlaka ya pato ikae tu kimya mzigo ukipita.
Bado haiingii akilini mkuu
Nimepewa ubuyu kua ukiona mzigo wenye tracking inayoanza R haipaswi kutozwa chochote ila kwa undani ngoja nitawaletea ufafanuzi wa kina kabisa kuhusu hili.
Huu ni ubuyu kutoka kwa wahusika wa percel wenyewe sio tetesi
 
Mkuu hii ni kwa mizigo midogo midogo.
 
Bado hai make Sense
[emoji23][emoji23]
Mkuu ndio mama nikasema nitaleta mrejesho kwa umakini zaidi pitia post yangu ndio mama nikasema iko hivyo ila kuna wazo nalipata.
Sidhani kam watumishi wa idara husika hawapo humu.
Kama wapo na wanaiona uzi huu wapite hapa kutufafanulia zaidi.
 
Tunasubiri mrejesho. Usisahau kufuatilia mkuu
Mkuu ndio mama nikasema nitaleta mrejesho kwa umakini zaidi pitia post yangu ndio mama nikasema iko hivyo ila kuna wazo nalipata.
Sidhani kam watumishi wa idara husika hawapo humu.
Kama wapo na wanaiona uzi huu wapite hapa kutufafanulia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…