Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka hii mkuu nitumie njia gani kuipata niko DARESSALAAM
 
Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.
Hujalipia Stamp?
Maana mimi huwa wananitoza buku 2 ya stamp kwa kila parcel hata kama nimeagiza sindano tu
 
hio ni highend sio kama redmi,

simu za xiaomi highend zinakuwa na neno Mi,

hio le eco mfananisho wake kwa xiaomi ni mi 5,

mi5 pia ina 3000mah.

hawaweki ma battery makubwa kwenye flagship.
Mkuu ninataka kununua sim kwa bajeti ya 400,000-450,000. Sitaki tena kuendeshwa na majina makubwa. Ila ningependa sim hiyo iwe na uwezo mkubwa wa
1 Betri,
2 kamera kali sana
3 Storage kubwa
4 4G
Je ungenishauri ni nunue sim gani(kampuni) na modeli pia?
 
Subiria January uchukue hii
Xiaomi Redmi 5 Plus gives you ultimate visual experience. It uses Snapdragon 625 octa core processor with 2.0GHz frequency, which makes you play big games and watch videos smoothly. Besides, 12.0MP and 5.0MP camera let you take sharper and more vibrant photos anywhere and anytime.

Main Features:
● Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz
Processor with Octa Core and 2.0GHz and 3GB of RAM brings outstanding performance for running mufti-application and playing games
● 5.99 inch 2160 x 1080 FHD+ screen, 403ppi
The 18:9 full screen is matched with 8.0mm slim body, comfortably to fit in your hand
● MIUI 9
Offers a fresh, fast platform to help you stay connected and productive while you're on the go
● 32GB ROM memory
Provides large capacity memory for your music, apps, photos, and videos etc.
● 5.0MP front camera and 12.0MP rear camera
Creates beautiful selfies and catches gorgeous photos anywhere and anytime

Extra Features:
● Fingerprint Scanner
● 4000mAh Big Battery Capacity
● GPS / A-GPS / GLONASS / Beidou
● Gravity Sensor / Gyroscope / Proximity Sensor / Accelerometer / Light Sensor / Hall Sensor

Networks:
● GSM: Band 2/3/5/8
● CDMA 1X BC0
● CDMA 2000 BC0
● WCDMA: Band 1/2/5/8
● TD-SCDMA Band 34/39
● FDD-LTE: Band 1/3/5/7/8
● TDD-LTE Band 34/38/39/40/41
 
Naona mkuu in features kali. Vip ndio inatoka januari, na bei yake itakuwa affordable sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…