Kwa kawaida mizigo yangu ya kodi nina subiri hadi wa niite wenyewe. Sana sana mizigo yangu inakuwa "held by customs" kwa siku zisizo pungua 4, then "released from customs" message inaingia nikachukue mzigo..Shukrani, mzigo unapokuwa held by customs unatakiwa kuanzia ofisi gani ? Au utaratibu ukoje ?
Ni Chinese rom au Global maaana hii beta inayooanza September 27 ni kwa wale wenye rom za chinaNielekeze nianze kuijaribu tufanyaje kuipata mkuu, nin redmi 7hapa
Inaanza na RF.Kwa kawaida mizigo yangu ya kodi nina subiri hadi wa niite wenyewe. Sana sana mizigo yangu inakuwa "held by customs" kwa siku zisizo pungua 4, then "released from customs" message inaingia nikachukue mzigo..
Kwani tracking number yako inaanza na RF, RV au RB?
Hawa Tra wa posta ni pasua kichwa sema ukweli maana kuna siku nilikuwa na mizigo mitatu posta nvme SSD 1tb ya Samsung bei 600k hivi, Router 4g ya 100k na headphones za Edifier 170k. Mzigo wa kwanza na wa pili nikapokea bila shida message kwenye simu ikija (FGN hapa unajua hamna kodi) .. Watatu ukaja message RDP nikajua hapa kodi. Walinigonga karibia nusu ya bei ya manunuzi ya hizo headphones:
Import duty 25%
Excise duty 0%
Customs processing 0.6%
Railway Development 1.5%
VAT 18%
Kwenye Vat wanachukua bei ya bidhaa + import duty = total wanazidisha na hiyo 18%
Mahesabu haya hubadilika, sina uhakika simu wana charge vipi, maana kwa nguo wanacharge zaidi n.k
Pia usiogope sana, kuna mizigo yangu mingine ilishikwa customs lakini nikaipata bila kodi.
Duh! Mkuu jiandae tu kisaikolojia, kuna chance kubwa message utakayopokea ni ya RDP (namba ya mzigo). Mizigo yangu ya RF haijawahi ni acha salama.Inaanza na RF.
Ni Chinese rom au Global maaana hii beta inayooanza September 27 ni kwa wale wenye rom za china
Hakuna trick hapa ni bahati yako, mzigo ukija kwa Singapore post na tracking ya RB ni nadra sana utakuta kodi lakini mzigo wa RF, kwa Singapore post kwa mimi sijawahi kuondoka salama au mzigo wenye kitu cha nguo, viatu, au begi lazima kodi upigwe.Toa trick fujue tunafanyaje na sie awam ingine
Umetumwa kwa Singapore Post. Kwa hizo percent ulizotaja hapo mpaka nimeshaanza kujuta kwa nini niliagiza mzigo kabla hata sijaupokea. Kama earphone za 170K unasema ulipigwa karibia nusu ya gharama za simu sasa mzigo wa 400K si utajikuta unakufikia mkononi kwa takribani 700K.Hakuna trick hapa ni bahati yako, mzigo ukija kwa Singapore post na tracking ya RB ni nadra sana utakuta kodi lakini mzigo wa RF, kwa Singapore post kwa mimi sijawahi kuondoka salama au mzigo wenye kitu cha nguo, viatu, au begi lazima kodi upigwe.
Usife moyo kwanza; 1. subiria kwanza message kutoka watu wa posta (kama uliweka namba yako ya simu aliexpress) ikija kama FGN sherekea, ikija kama RDP ndio usikitike kidogo, 2. Makadirio liyoyaweka yanawezeka kuwa tofauti kwenye bidhaa kama simu (subiria watu waliowahi chajiwa kodi kwenye simu wakupe breakdown nzuri) 3. Muuzaji haandiki bei halisi uliyonunulia sasa pale posta ni ujanja wako tu either useme ukweli au utetee bei iliyoandikwa kwenye package na seller.Umetumwa kwa Singapore Post. Kwa hizo percent ulizotaja hapo mpaka nimeshaanza kujuta kwa nini niliagiza mzigo kabla hata sijaupokea. Kama earphone za 170K unasema ulipigwa karibia nusu ya gharama za simu sasa mzigo wa 400K si utajikuta unakufikia mkononi kwa takribani 700K.
Mzigo unakuwa bado haujaupata. Unajuaje bei aliyoandika seller kwenye package yako ?Usife moyo kwanza; 1. subiria kwanza message kutoka watu wa posta (kama uliweka namba yako ya simu aliexpress) ikija kama FGN sherekea, ikija kama RDP ndio usikitike kidogo, 2. Makadirio liyoyaweka yanawezeka kuwa tofauti kwenye bidhaa kama simu (subiria watu waliowahi chajiwa kodi kwenye simu wakupe breakdown nzuri) 3. Muuzaji haandiki bei halisi uliyonunulia sasa pale posta ni ujanja wako tu either useme ukweli au utetee bei iliyoandikwa kwenye package na seller.
Unaweza kumtumia message seller akuambie Ali declare kiasi kipi kwenye mzigo.Mzigo unakuwa bado haujaupata. Unajuaje bei aliyoandika seller kwenye package yako ?
Shukrani nna namba za seller ngoja nimcheck fasta.Unaweza kumtumia message seller akuambie Ali declare kiasi kipi kwenye mzigo.
Kama ulivyosema ni bahati maana kwangu ishanitokea kama mara tatu hivi mizigo ya RB kulipia Kodi. Hapa nataka niagize Mi9t Pro nikifikiria kodi naishiwa nguvu!Hakuna trick hapa ni bahati yako, mzigo ukija kwa Singapore post na tracking ya RB ni nadra sana utakuta kodi lakini mzigo wa RF, kwa Singapore post kwa mimi sijawahi kuondoka salama au mzigo wenye kitu cha nguo, viatu, au begi lazima kodi upigwe.
Kwa simu huwa wanachaji 21%Umetumwa kwa Singapore Post. Kwa hizo percent ulizotaja hapo mpaka nimeshaanza kujuta kwa nini niliagiza mzigo kabla hata sijaupokea. Kama earphone za 170K unasema ulipigwa karibia nusu ya gharama za simu sasa mzigo wa 400K si utajikuta unakufikia mkononi kwa takribani 700K.
Duh. Hapa sasa sijui unakuwa umeokoa nini. Maana ni bora tu ununue simu Tz.Kama ulivyosema ni bahati maana kwangu ishanitokea kama mara tatu hivi mizigo ya RB kulipia Kodi. Hapa nataka niagize Mi9t Pro nikifikiria kodi naishiwa nguvu!Kwa simu huwa wanachaji 21%
Jaribu kumwambia seller asi declare real price ya hicho kitu may be inaweza saidia, maana hata mimi nilishapigwa kodi. Seller aliandika mbei wote kwenye package inawezekana ndio ilikuwa sababu.Kama ulivyosema ni bahati maana kwangu ishanitokea kama mara tatu hivi mizigo ya RB kulipia Kodi. Hapa nataka niagize Mi9t Pro nikifikiria kodi naishiwa nguvu!Kwa simu huwa wanachaji 21%
Sellers hakuandika Bei kubwa, aliweka ndogo tu. Nadhani siku wakikuotea tu umekwisha.Jaribu kumwambia seller asi declare real price ya hicho kitu may be inaweza saidia, maana hata mimi nilishapigwa kodi. Seller aliandika mbei wote kwenye package inawezekana ndio ilikuwa sababu.
China Post Registered Air mailWakuu free shipping gani inawaisha mzigo angalau 3-4 weeks?
Ahsante mkuu! Unamaanisha hii [emoji116]China Post Registered Air mail
21% dah! Unaweza kunipa breakdown vizuri kama bado unayo ile karatasi... Maana hata mimi nilitaka kuagiza Mi9t pro lakini nilivyofikiria bei + kodi cost nikaona itafika S10.. Nikaachana nayoKama ulivyosema ni bahati maana kwangu ishanitokea kama mara tatu hivi mizigo ya RB kulipia Kodi. Hapa nataka niagize Mi9t Pro nikifikiria kodi naishiwa nguvu!Kwa simu huwa wanachaji 21%