utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 1,033
- 900
Kwa kawaida mizigo yangu ya kodi nina subiri hadi wa niite wenyewe. Sana sana mizigo yangu inakuwa "held by customs" kwa siku zisizo pungua 4, then "released from customs" message inaingia nikachukue mzigo..Shukrani, mzigo unapokuwa held by customs unatakiwa kuanzia ofisi gani ? Au utaratibu ukoje ?
Kwani tracking number yako inaanza na RF, RV au RB?