Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hii nimeipenda ila kwakuwa ndio ulikuwa unaanza kununua, maana bidhaa 1400, lkn shipping ipo juu zaidi ya bidhaa, ungechagua tu free shipping kwa hiyo bei mkuu.
 
Ila si ndo kusubiri si chini ya siku 30?
Kama ni safe Ngoja niagize Maana kuna mzigo shipping ni mara mbili ya bei ya bidhaa
Nikicheki sina haraka nao nini kujitesa
Asante ndugu
Mizigo mingine ya free shipping inaenda hadi siku 60. Nyingine hadi unasahau ndio mzigo unafika, niliwahi kukutana na mzigo posta niliagiza ukakaa siku nyingi nika dai dispute nikalipwa nimekaa nimesha sahau nakutana nao posta ndio umefika. [emoji16]
 
Sio lazma. Mfano kuna free shipping ya AliExpress Standard shipping mzgo wiki mbili upo mkononi
Ila si ndo kusubiri si chini ya siku 30?
Kama ni safe Ngoja niagize Maana kuna mzigo shipping ni mara mbili ya bei ya bidhaa
Nikicheki sina haraka nao nini kujitesa
Asante ndugu
 
Ndio mzigo wangu wa kwanza juzi ku order $1.37...! Ngoja niskizie..
 
Polee mkuu.. Singapore post ndio wanyama kwenye shipping...10 dayz tu mzgo uko nyumbani,,alaf AliExpress Standard shipping huwatumia hao Singapore post
Naongea by experience mkuu niliagiza mzigo kupitia njia hiyo zimefika siku almost 50
 
Ndio mana nmeanza kwa kukupa pole mana ulipata experience mbaya

Humu wengi wamepata mizigo yao mapema kwa singerpore post...ikiwemo mimi..ndio shipping carrier wangu mkubwa binafsi
Mzigo km simu ikija imepata crack,utaratibu ukoje'?
 
Wakuu nahitaji ufafanuzi
Kuna simu huwa inasifiwa sana kwenye huu uzi Je lipi ni jina sahihi la hii simu kati ya haya yafuatayo:
MI, XIAOMI na REDMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…