Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu nahitaji ufafanuzi
Kuna simu huwa inasifiwa sana kwenye huu uzi Je lipi ni jina sahihi la hii simu kati ya haya yafuatayo:
MI, XIAOMI na REDMI
Brand name ni Xiaomi,hzo mi na redmi ni series za simu mara nyingi mi(a2,a3 n.k) huwa high end device na hzo redmi(redmi 4,5,7 n.k) hutoa low end na midrage.
 
Inatumia muda mrefu sana kuliko hizo mbili afu hata tracking yake inazingua
Mmnhuu mkuu, labda kulikuwa na shida somewhere, lakini ukiona mzigo umetumwa kwa Singapore post kuwa na amani ndani ya kuanzia siku 14 kupata mzigo wako.
 
Habari chief, naomba utufanyie ufafanuzi kati ya redmi 8a na note 7 ipi imeipiku mwenzake kwa vitu vingi, tuchambulie plz kitaaalumu tujue
 
Hii kitu mkuu uwe mpoleeee, ukiwahi kufika ni bahati huwa inachukua muda...
[emoji23] [emoji23] Hata miezi ngapi mkuu! Tatizo hakukua na option ya shipping nyingine zaidi ya hiyo na seller bei yake ilkua ndogo ya hicho kifaa...
 
Nina redmi 7 mkuu sio note 7 na aliyehusika kuniagizia ni mr mobile. Nwdayz ninaagiza mwenyewe na simu ya hivi karibuni ni xiaomi redmi 7a
Kama hutojali nipe details ni redmi note 7 ipi (namaanisha yenye snapdragon ipi, 630 au 660) uliichukua na ilikugharimu kiasi gani hadi kukufikia mkononi kwako nitashukuru mkuu
Kilangi masanja
 
Redmi 8A vs Redmi 7
Je kati ya redmi 7 na 8a
Hapo sababu ya kufanana kwa vitu vingi hizi simu, Redmi 7 imeizidi hii Redmi 8A katika chip, camera japo zote zina pixel za kufanana.

Hii Redmi 8A ina plastiki body, lkn bado itakuwa na sifa ya kukaa zaidi na chaj kuliko hiyo Redmi 7.
mimi ningeangalia unafuu wa bei so ningechukua Redmi 8A sababu hazipishani sana, japo kiubora Redmi 7 ni bora zaidi ya Redmi 8A.
 
Mizigo mingine ya free shipping inaenda hadi siku 60. Nyingine hadi unasahau ndio mzigo unafika, niliwahi kukutana na mzigo posta niliagiza ukakaa siku nyingi nika dai dispute nikalipwa nimekaa nimesha sahau nakutana nao posta ndio umefika. [emoji16]
Ulirudsha hela kwa sela?
 
Ndio mana nmeanza kwa kukupa pole mana ulipata experience mbaya

Humu wengi wamepata mizigo yao mapema kwa singerpore post...ikiwemo mimi..ndio shipping carrier wangu mkubwa binafsi
Saa ingine hayuko huyo singapoo kwenye option ila ASS ndy hao hao maybe
 
Naona note 8 iko vizuri na bei poa haizidi 340K
Tatizo ni kununua kitu unasubiri wiki kadhaa
 
Utapokea mzigo wako mwakani 2020 tena January na ikiwezekana sana ni January mwishoni! Utatafuta hii comment uni-quote!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…