son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 264
Brand name ni Xiaomi,hzo mi na redmi ni series za simu mara nyingi mi(a2,a3 n.k) huwa high end device na hzo redmi(redmi 4,5,7 n.k) hutoa low end na midrage.Wakuu nahitaji ufafanuzi
Kuna simu huwa inasifiwa sana kwenye huu uzi Je lipi ni jina sahihi la hii simu kati ya haya yafuatayo:
MI, XIAOMI na REDMI