Alafu hii Redmi 7 mbona naona kama ni Chinese version au imekaa vipi? Hakuna iliyotengenezwa kwa Global users...!Redmi 8A vs Redmi 7
Hapo sababu ya kufanana kwa vitu vingi hizi simu, Redmi 7 imeizidi hii Redmi 8A katika chip, camera japo zote zina pixel za kufanana.
Hii Redmi 8A ina plastiki body, lkn bado itakuwa na sifa ya kukaa zaidi na chaj kuliko hiyo Redmi 7.
mimi ningeangalia unafuu wa bei so ningechukua Redmi 8A sababu hazipishani sana, japo kiubora Redmi 7 ni bora zaidi ya Redmi 8A.
Hapo ndo patam sasaSaa ingine hayuko huyo singapoo kwenye option ila ASS ndy hao hao maybe
Wewe Utakuwa umetumia 4PX Singapore Post OM pro ambayo inachelewesha kama ilivyo China Post Small Packet plus.Naongea by experience mkuu niliagiza mzigo kupitia njia hiyo zimefika siku almost 50
Jamaa atakuwa kakumbana na 4PX Singapore Post OM proPolee mkuu.. Singapore post ndio wanyama kwenye shipping...10 dayz tu mzgo uko nyumbani,,alaf AliExpress Standard shipping huwatumia hao Singapore post
Nina mzigo nimetumia hii shipping ya china post small package plus huu sasa ni mwezi wapili unaisha, na waiting days zimebaki siku 8, ni OPEN DISPUTE.Wewe Utakuwa umetumia 4PX Singapore Post OM pro ambayo inachelewesha kama ilivyo China Post Small Packet plus.
View attachment 1218583
open tu kama system ya AE itakubali na utacancel kama mzigo utafika.Nina mzigo nimetumia hii shipping ya china post small package plus huu sasa ni mwezi wapili unaisha, na waiting days zimebaki siku 8, ni OPEN DISPUTE.
Ndio hivyo, nimesubiri mzigo ndani ya muda ulio pangwa hadi umeisha sioni mzigo nikadai pesa yangu nikalipwa. Ukiacha muda wa ku open dispute upite, inakula kwako. Mzigo hujapata na pesa seller kachukua.Huoni kama huo ni utapeli
Ngoja nisubiri hizi siku ziishe ndio nitafanya hivyo. Na mara nyingi ni hii mizigo ya chini ya dola 5. Halafu uchague free shipping [emoji16][emoji16][emoji16]open tu kama system ya AE itakubali na utacancel kama mzigo utafika.
ila mimi huwa natumia hiyo kama sina haraka na mzigo so napotezea tu hadi ufike
Shida huyo seller unaweza kukutana naye kwenye bidhaa nyingine ya kipekee ukaona soo kununua kwake.Ndio hivyo, nimesubiri mzigo ndani ya muda ulio pangwa hadi umeisha sioni mzigo nikadai pesa yangu nikalipwa. Ukiacha muda wa ku open dispute upite, inakula kwako. Mzigo hujapata na pesa seller kachukua.
Nimekaa zaidi ya miezi miwili nakuta mzigo posta. Na utaratibu zisizidi siku 60. Sasa huo mzigo ulichukua takriban miezi 4, ulitaka nimuachie jamaa wa posta?
Zipo mbili kuna yenye global version na yenye china version.Alafu hii Redmi 7 mbona naona kama ni Chinese version au imekaa vipi? Hakuna iliyotengenezwa kwa Global users...!
Nimekupata mkuu...Shida huyo seller unaweza kukutana naye kwenye bidhaa nyingine ya kipekee ukaona soo kununua kwake.
Mimi nishawalipa Seller mara 3.
huwa wanakwambia uorder tena then umtext kwamba hasitume mzigo so atakachofanya ni kutuma fake tracking number nawe uta confirm ili system impe hela zake au atakuomba umlipe kwa paypal
Alafu hii Redmi 7 mbona naona kama ni Chinese version au imekaa vipi? Hakuna iliyotengenezwa kwa Global users...!
Mtext atakupa njia ya kumtumia helaNimekupata mkuu...
Niliwaza kufanya hivi but sikujua kama itakuwa na ufanisi kumbe inawezekana.
Mtext atakupa njia ya kumtumia hela
Kwani Global zimeshatoka!?Naona note 8 iko vizuri na bei poa haizidi 340K
Tatizo ni kununua kitu unasubiri wiki kadhaa
Mi naona note 8 kashindwa kumkalisha note 7
Ipi ina mediatek?Shida Chipset yake ni Mediatec