Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nna huyu mwamba, hakika ni mwamba mmoja matata sana. Kitu cha black shark, kitu ya kazi.

IMG_4138.JPG
 
Redmi 8A vs Redmi 7
Hapo sababu ya kufanana kwa vitu vingi hizi simu, Redmi 7 imeizidi hii Redmi 8A katika chip, camera japo zote zina pixel za kufanana.

Hii Redmi 8A ina plastiki body, lkn bado itakuwa na sifa ya kukaa zaidi na chaj kuliko hiyo Redmi 7.
mimi ningeangalia unafuu wa bei so ningechukua Redmi 8A sababu hazipishani sana, japo kiubora Redmi 7 ni bora zaidi ya Redmi 8A.
Alafu hii Redmi 7 mbona naona kama ni Chinese version au imekaa vipi? Hakuna iliyotengenezwa kwa Global users...!
 
Huoni kama huo ni utapeli
Ndio hivyo, nimesubiri mzigo ndani ya muda ulio pangwa hadi umeisha sioni mzigo nikadai pesa yangu nikalipwa. Ukiacha muda wa ku open dispute upite, inakula kwako. Mzigo hujapata na pesa seller kachukua.

Nimekaa zaidi ya miezi miwili nakuta mzigo posta. Na utaratibu zisizidi siku 60. Sasa huo mzigo ulichukua takriban miezi 4, ulitaka nimuachie jamaa wa posta?
 
open tu kama system ya AE itakubali na utacancel kama mzigo utafika.
ila mimi huwa natumia hiyo kama sina haraka na mzigo so napotezea tu hadi ufike
Ngoja nisubiri hizi siku ziishe ndio nitafanya hivyo. Na mara nyingi ni hii mizigo ya chini ya dola 5. Halafu uchague free shipping [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndio hivyo, nimesubiri mzigo ndani ya muda ulio pangwa hadi umeisha sioni mzigo nikadai pesa yangu nikalipwa. Ukiacha muda wa ku open dispute upite, inakula kwako. Mzigo hujapata na pesa seller kachukua.

Nimekaa zaidi ya miezi miwili nakuta mzigo posta. Na utaratibu zisizidi siku 60. Sasa huo mzigo ulichukua takriban miezi 4, ulitaka nimuachie jamaa wa posta?
Shida huyo seller unaweza kukutana naye kwenye bidhaa nyingine ya kipekee ukaona soo kununua kwake.
Mimi nishawalipa Seller mara 3.
huwa wanakwambia uorder tena then umtext kwamba hasitume mzigo so atakachofanya ni kutuma fake tracking number nawe uta confirm ili system impe hela zake au atakuomba umlipe kwa paypal
 
Nimekupata mkuu...
Niliwaza kufanya hivi but sikujua kama itakuwa na ufanisi kumbe inawezekana.
 
tracking.JPG

Hawa jamaa wa posta Mbona wana danadana nyingi ?
Mzigo umewasili 26/09 ila badala ya kuupeleka Temeke lilipo Box wao wameupeleka Kariakoo then kuurudisha G.P.O au mimi ndio sijaelewa?
Mizigo inapokelewa G.P.O kwanza au inaanzia Kariakoo then GPO?
 
Back
Top Bottom