Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Nadhani katolea mfano tu hapo ila brand kama Blackview, dogee, umidigi,Xgody, homtom, leagoo zinapiga kazi vizuri tu bongoMkuu hyo simu inafanya kazi bongo kweli, nazionaga simu bei ya chini alliexpress Ila sababu hazna majina naogopa tcra wasije kua wamezifungia
Wakuu Bajet ya 380K mpaka 400K
Naweza Pata xiaomi ya aina gani maana mmenivutia nihamie kwenye hii familia
Naombeni mwongozo tafadhali
REDMI NOTE 7 GB 64 KWA 490K MPKA 470K. GB 128 KWA 580KKwa budget ya 550K naweza pata xiaomi model ipi nzuri
Hizi simu zinauzwa bei poa sana sijui kwa nini. Nataka niijaribu umidigi a5 pro inauzwa 214000 tu mpaka bongoNadhani katolea mfano tu hapo ila brand kama Blackview, dogee, umidigi,Xgody, homtom, leagoo zinapiga kazi vizuri tu bongo
Ndio bei zake hizo cheap MTK Kaka!!!Hizi simu zinauzwa bei poa sana sijui kwa nini. Nataka niijaribu umidigi a5 pro inauzwa 214000 tu mpaka bongo
[emoji38][emoji38][emoji38]inatakiwa ianze opp tokomeza tecno.Ndio bei zake hizo cheap MTK Kaka!!!
Tecno wanafanya double price.
Hizi simu zinauzwa bei poa sana sijui kwa nini. Nataka niijaribu umidigi a5 pro inauzwa 214000 tu mpaka bongo
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.Hizi simu zinauzwa bei poa sana sijui kwa nini. Nataka niijaribu umidigi a5 pro inauzwa 214000 tu mpaka bongo
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.
Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
Haa haaa ulimueza sana,hawakudai 2500 yao?Hukuwa na invoice au kithibithisho chochote cha bei nao walitaka wajiridhishe afu huwa wanakaba makusudi wakijua kwamba huwezi kuiacha simu yako kali.
mimi nina kawaida ya kufungulia parcel pale kidirishani ili kuhakiki kama kila kitu kipo sawa sasa kuna siku niliitoa Redmi note 7 kwenye zile Buble si yule mama akaning'ang'ania niivue kwa box ili aione live maana kaipenda ile picha juu ya box nikamwambia kifaa cha watu hiki siwezi kuondoa seal bila ya ridhaa ya mwenyewe.
Kuuliza bei nikamwambia mia na 20 akaiponda kumbe ndogo kuliko spark 7 yake nikamwambia poa haina shida.
mida mida huwa tunajirengesha wenyewe kwa hawa watu so tuwe makini katika kujibu maswali yao.
Mkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.
Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
Hiyo hawaiachii siku Hizi.Haa haaa ulimueza sana,hawakudai 2500 yao?
Shukrani mkuu, nimepita hatua zote Ila hela inagoma kwenda. Wanaleta hii sms [https://ae01]Jaza card no.ya mpesa Mastercard ulizopewa na cvv(security code) huwa ni namba tatu ulipewa na namba za mpesa Mastercard .Utabonyeza confirmation hela yako itakatwa automatic na utaletewa sms
Shukrani mkuu, nimepita hatua zote Ila hela inagoma kwenda. Wanaleta hii sms [https://ae01]
Payment Failed
Your card's expiry date has either passed or was input incorrectly. Error Code: CSC_7200012
Jaza namba za mpesa mastercard yako, watakata amount kulingana bei ya bidhaaMkuu hata mm nataka ninunue hiyo hiyo umidigi a5 pro, nimeona alliexpress ni 224000 mpaka kufika. Ila cjawahi kununua kitu mtandaoni. Nimeshajisajili alliexpress, nimejaza particulars zangu. Jinsi ya kuweka hela m pesa MasterCard nimeelewa. Ila cjaelewa namna ya kwenda kulipia bidhaa.
Nimefika pale kwenye pay now nikafika sehem inatakiwa kujaza card namba nkaanza kuogopa. Naomba kuelewa namna ya kulipia nisije poteza hela kizembezembe.
Na kuna hiyo umidigi F2 inauzwa 413KUmidigi iko poa sana mkuu
Ni levo za tecno ila tecno zinazidi Bei hizo simu
Washakata hela yao, na imekuja sms ya kufanya malipo alliexpress. Nini kinachofuata? Mimi ni mara yangu ya Kwanza kuagiza Kwa mtandao naomba msaadaJaza namba za mpesa mastercard yako, watakata amount kulingana bei ya bidhaa
Ingia kwenye profile yako ya AliExpress> account>to be shipped , hapo utakuta mzigo uliolipia unaosubiri kusafirishwa na sellerWashakata hela yao, na imekuja sms ya kufanya malipo alliexpress. Nini kinachofuata? Mimi ni mara yangu ya Kwanza kuagiza Kwa mtandao naomba msaada
Ndio maana ili pendendekezwa kuagiza vitu vya thamani ndogo unapoingia kwenye hili game kwa mara ya kwanza then ukishapata uzoefu ndio unaagiza vitu vya thamani kubwa huko mbele.Washakata hela yao, na imekuja sms ya kufanya malipo alliexpress. Nini kinachofuata? Mimi ni mara yangu ya Kwanza kuagiza Kwa mtandao naomba msaada
1. Nimejaza sanduku la postsNdio maana ili pendendekezwa kuagiza vitu vya thamani ndogo unapoingia kwenye hili game kwa mara ya kwanza then ukishapata uzoefu ndio unaagiza vitu vya thamani kubwa huko mbele.
Fuata mwongozo wa BANGO JEUPE
Ya ziada tuambie:
1.Una sanduku la posta au umejaza physical address?
2.Courier (Shipping method) gani umechagua?