Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

This is the thing about MediaTek chipsets, they have poor support and development.

Well, if you're going to be getting the Redmi Note 8 Pro, you'll have to wait till the last week of December, 2019 for MIUI 11.
IMG_20191016_115241.jpeg
 
Wakuu hivi seller aki cancel shipment hela ya refund narudishiwa automatic au nahitaji kufungua kesi. Huyu seller kaniweka Sana. 4 weeks hatumi mzigo. Halafu Kwa siku anakujibu message moja Tu.
 
Vipi mkuu huyo seller ni Fantancy?

Pesa itarudishwa automatically endapo muda wa kusubiri umeisha na seller hajatuma mzigo.

Au cancel order fuata process zote kisha subiri refund yako ifanyiwe kazi ndani ya siku 4 pesa inakuwa imerudishwa ila sasa ukubaliane na utakacho kutana nacho maana pesa yaweza kupungua au kuongezeka kulingana na thamani ya dola kwa siku husika.
 
This is the thing about MediaTek chipsets, they have poor support and development.

Well, if you're going to be getting the Redmi Note 8 Pro, you'll have to wait till the last week of December, 2019 for MIUI 11.View attachment 1234973
November 13 hadi 29 namuona Note 6Pro hapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mie nina siku almost saba mpaka kumi hivi nipate update hebu wakuu tuanze kuchambua taratibu features mpya ambazo tunaona zaweza leta mageuzi kwenye miui 11.Wakongwe wa teknolojia kama chief Mkwawa, mwalimu crt, mr mobile. Ingependeza tujadili kwa Kiswahili itapendeza zaidi.
November 13 hadi 29 namuona Note 6Pro hapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni hivi seller ndio ame cancel order kaniambia kule kiwandani kuna tatizo ndio maana mzigo haujaondoka. Maana ulikuwa tayari Una track namba.
 
Seller gani mkuu isijekua MI FRANCE maana nna mpango wa kuchukua mi 9t kwake

Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana.

Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
 
Huyu niliamua kucancel order mwezi nzima bila kutuma. Fantancy naye huwa namkwepa ninapo chagua bidhaa
 
Back
Top Bottom