Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Shukrani
 
1. Nimejaza sanduku la posts
2. Cjachagua courier Ila niliona wameandika alliexpress standard shipping.

Mkuu unanitisha
Mkuu kuhusu kuibiwa pesa zako hilo halipo uwe na amani kabisa.
Kaa uhesabu week kuanzia 3 utapokea mzigo wako kama address ulijaza kikamilifu.
Kumbuka tu uwe na kitambulisho chenye jina sawa na ulilojaza kwenye address huko Aliexpress.

Karibu kwenye Game.
Japo siku hizi kuna makato yasiyo eleweka mzigo ukifika Tz.
 
Hahaaaaa watajua wao nusu baadae haapa najilipua na redmi note 7 rangi white hapa ila ni adimu sana. Nipe store ambayo wanayo kiongozi hasa hii yenye GB 32 nijilipue nasesearch sizipati
 
Hahaaaaa watajua wao nusu baadae haapa najilipua na redmi note 7 rangi white hapa ila ni adimu sana. Nipe store ambayo wanayo kiongozi hasa hii yenye GB 32 nijilipue nasesearch sizipati
Kwanini usichukue redmi note 8 ina rangi nyeupe nyingi na bei zinafanana Mkuu.
 
1. Nimejaza sanduku la posts
2. Cjachagua courier Ila niliona wameandika alliexpress standard shipping.

Mkuu unanitisha
Sijakutisha bali ni kujaribu kukupa maexperience.
Hiyo Standard shipping mara nyingi inakuwaga ni singapore post ndiyo Courier walio faster kwa sasa kwa njia ya posta ukiondoa EMS.
Mengine ushajibiwa na wadau
 
Huyu YanWen ni msafirishaji kichomi sana
 
Vipi umejiripua nayo?
Kama budget ni chini ya laki 2 bora uende huko maana redmi ģo siyo mzuka kabisa.
Kuna ndugu yangu kaenda USA jana nimemtumia Deatails apatiwe from ALiExpress aniletee nina 230K mkuu. au kuna option nyingine nzuri zaidi kwa hiyo budget? nilikuwa nawazia INfinix Hot 8 na Redmi 8 kabla ya wazo la UMIDIGI halijaja.
 
Msaada wakuu nataka ninue simu moja kati ya hizi tatu sasa naomba ushauri wenu ninunue ipi ?

1. Honor 8c
2. Moto one (p30 play)
3. Redmi 7
 
Mkuu uliwahi kutumia EMS kusafirisha simu kutoka nje ya nchi?
Sijakutisha bali ni kujaribu kukupa maexperience.
Hiyo Standard shipping mara nyingi inakuwaga ni singapore post ndiyo Courier walio faster kwa sasa kwa njia ya posta ukiondoa EMS.
Mengine ushajibiwa na wadau
 
Aliyewahi kutumia hizi simu tafadhali,vipi ziko vizuri?
Elephone
Homtom
Ouktel
Xgody
Doogee
Blackview
Leagoo
Meizu
Ulefone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…