Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Niliandika 6$
Sasa sielewi kwanini wamenirefund 2$

Itakuwa uliaccept offer ya 2$
Hebu check hii
Screenshot_2019-10-24-22-16-17.png

Screenshot_2019-10-24-22-18-05.png

Screenshot_2019-10-24-22-18-15.png

Screenshot_2019-10-24-22-19-32.png
 
Attachments

  • Screenshot_2019-10-24-22-18-15.png
    Screenshot_2019-10-24-22-18-15.png
    11.1 KB · Views: 1
Vipi mkuu ulipata mi 9t yako au ndo mambo ya fake track namba
Na umetumiwa rangi gani?
mi nataka nyekundu ila nasikia zimebaki nyeusi tupu!!
Katuma kwa Singapore post na tracking inasoma "Despatched to overseas (Country code: TZ)" so kila kitu kikienda vizuri na TRA wakinisahau by tarehe 28 itakuwa hapa. Nilichagua rangi Black sababu ilikuwa cheapest muda huo.
 
Sawa mkuu mimi nataka red 128GB, huyu MI FRANCE amebakiwa na Black tupu
Itabidi niagize kwa MI STORE naona Red anazo, ila Bei imezidi kama elfu 30 tofauti na MI FRANCE
 
Sawa mkuu mimi nataka red 128GB, huyu MI FRANCE amebakiwa na Black tupu
Itabidi niagize kwa MI STORE naona Red anazo, ila Bei imezidi kama elfu 30 tofauti na MI FRANCE
Bora umjaribu huyo MI Store, maana huyu MI FRANCE kwangu ni mwanzo na mwisho kwa alivyonisubirisha.
 
Wadau msaada hapo tafadhalii
Unaweza kupakua app kama 17track kwenye playstore na ukaingiza tracking number ya huo mzigo kwenye hiyo application na ikakuonyesha umefika wapi. Lakini kwa mizigo mingi ukishakua shipped mfano na China Post, Singapore post n.k hutoana update yoyote mpaka pale utakapokuwa scanned Tanzania.
 
kuna RedMi 6 imeanza tatizo la kusoma mtandao mmoja, ile sim card slot nikiweka laini haisomi na nikiweka kwenye Slot nyingine inasoma.
 
Attachments

  • IMG-20191024-WA0099.jpg
    IMG-20191024-WA0099.jpg
    27 KB · Views: 2
Kuna hii Mi A3, resolution ya 720x1560 mnaionaje wadau
Nimependa display size yake 6.0" maana mm sipendi simu kubwa 6.3" +
 
Unaweza kupakua app kama 17track kwenye playstore na ukaingiza tracking number ya huo mzigo kwenye hiyo application na ikakuonyesha umefika wapi. Lakini kwa mizigo mingi ukishakua shipped mfano na China Post, Singapore post n.k hutoana update yoyote mpaka pale utakapokuwa scanned Tanzania.
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom