Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Niliandika 6$
Sasa sielewi kwanini wamenirefund 2$
Nimeamua Kesho rasmi naagiza huyu mnyama
Ila nina mashaka na huyu seller (Mi France) kuna mdau alisema anachelewa sana kutuma mzigo
Sijaona seller mwenye Bei nzuri kama Mi France ila ndo bado nasita kuagiza View attachment 1243483
Umechukua lini?Yes yupo fasta nimechukua Note 8 tayari ameshatuma..Ila China vision.
Hii simu mashine kaliii[emoji123][emoji91]View attachment 1243668
Itakuwa uliaccept offer ya 2$
Hebu check hii
View attachment 1243649
View attachment 1243653
View attachment 1243656
View attachment 1243660
Yes yupo fasta nimechukua Note 8 tayari ameshatuma..Ila China vision.
Katuma kwa Singapore post na tracking inasoma "Despatched to overseas (Country code: TZ)" so kila kitu kikienda vizuri na TRA wakinisahau by tarehe 28 itakuwa hapa. Nilichagua rangi Black sababu ilikuwa cheapest muda huo.Vipi mkuu ulipata mi 9t yako au ndo mambo ya fake track namba
Na umetumiwa rangi gani?
mi nataka nyekundu ila nasikia zimebaki nyeusi tupu!!
Sawa mkuu mimi nataka red 128GB, huyu MI FRANCE amebakiwa na Black tupuKatuma kwa Singapore post na tracking inasoma "Despatched to overseas (Country code: TZ)" so kila kitu kikienda vizuri na TRA wakinisahau by tarehe 28 itakuwa hapa. Nilichagua rangi Black sababu ilikuwa cheapest muda huo.
Bora umjaribu huyo MI Store, maana huyu MI FRANCE kwangu ni mwanzo na mwisho kwa alivyonisubirisha.Sawa mkuu mimi nataka red 128GB, huyu MI FRANCE amebakiwa na Black tupu
Itabidi niagize kwa MI STORE naona Red anazo, ila Bei imezidi kama elfu 30 tofauti na MI FRANCE
Asante kwa angalizo mkuu [emoji2095]Bora umjaribu huyo MI Store, maana huyu MI FRANCE kwangu ni mwanzo na mwisho kwa alivyonisubirisha.
ze-kokuyo unaona hiiBora umjaribu huyo MI Store, maana huyu MI FRANCE kwangu ni mwanzo na mwisho kwa alivyonisubirisha.
Wadau msaada hapo tafadhaliiWakuu nawezaje kutrack na kujua mzigo uko wapi maana kwenye track ya aliexpress naona update mzigo departed kuja TZ siku 14 zilizopita
Unaweza kupakua app kama 17track kwenye playstore na ukaingiza tracking number ya huo mzigo kwenye hiyo application na ikakuonyesha umefika wapi. Lakini kwa mizigo mingi ukishakua shipped mfano na China Post, Singapore post n.k hutoana update yoyote mpaka pale utakapokuwa scanned Tanzania.Wadau msaada hapo tafadhalii
Heheheeeee dude kweli na pesa pia si ya kitoto.Dude hili! Acheni Xiaomi waitwe manguli.
Nishaweka Order!!
Xiaomi Mi Mix Alpha is the phone that took the time to show you the phone of the future [See Pictures]
Nimekupata mkuuUnaweza kupakua app kama 17track kwenye playstore na ukaingiza tracking number ya huo mzigo kwenye hiyo application na ikakuonyesha umefika wapi. Lakini kwa mizigo mingi ukishakua shipped mfano na China Post, Singapore post n.k hutoana update yoyote mpaka pale utakapokuwa scanned Tanzania.