Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Pia kuna jamaa Wanaitwa Mimosa wanatoa Pre paid card kwa gharama ya elfu sitini tu na wamakutumia popote ulipo TZ, zote zinadumu kwa miaka mitatu
Sie wengine tuko mikoan huku tunafanyaje aisee natamani niwe na kadi kabisa ujue hasa hio equity bank