Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Sie wengine tuko mikoan huku tunafanyaje aisee natamani niwe na kadi kabisa ujue hasa hio equity bank
Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k
Nitalifanyia kazi hili ila duuh kuishi wilayani huku nako n mtihani sana aiseeBank ni nyingi, ila kwa upande wangu natumia sana Equity Bank na bancABC, hawa hawana makato unapofanya online transaction pia gharama zao kupata kadi ni ndogo sana, equity kufungua account ni elfu kumi, BancABC kupata Pre paid Visa elfu kumi na tano kwa kadi ya shilingi na elfu hamsini kwa kadi ya dola. Pia kuna Exim bank wanatoa pre paid MasterCard kwa elfu kumi tu.
Mkuu uenda hiyo mastercard yako umeitumia kwenye kulipia matangazo na hukukamilisha malipo yao so imeweka mzigo umekatwa juu kwa juuMimi virtual card ya m pesa nimeacha kuitumia kitambo sana, nilipoteza kiasi kama cha elfu kumi na tatu hivi, na baada ya kuwasiliana na kuwasumbua sana Vodacom waliniambia pesa kweli imetolewa kwenye akaunti yangu na mastercard, ila shida ilikuja kuirudisha kwenye akaunti yangu. Hadi leo hii ilibidi niwaachie tu ile hela maana ilikuwa kama nawalazimisha kurudishiwa pesa yangu mwenyewe. Mimi hizo virtual card huwa nazikwepwa sana japo zina rahisisha malipo mtandaoni. Nikushauri tu kama kweli ww ni mtu wa manunuzi mara kwa mara mitandaoni tafuta Physical card za benki. benki ni nyingi zinazotoa kadi za haraka ila siwezi kuzitaja hapa kama hautojali nitafute WhatsApp 0759110633
Mkoa gani Mkuu?!Sie wengine tuko mikoan huku tunafanyaje aisee natamani niwe na kadi kabisa ujue hasa hio equity bank
Niko lindi mzee asante sana ubarikiweMkoa gani Mkuu?!
Watumie message kwenye Facebook,wanatumia 'Equity Bank Tanzania' utaelekezwa kila kitu.
Hua wanajibu message na kwa haraka
Mku
Mkuu uenda hiyo mastercard yako umeitumia kwenye kulipia matangazo na hukukamilisha malipo yao so imeweka mzigo umekatwa juu kwa juu
Mkuu hii pesa ndefu mno nenda kwenye vodashop zao ujue mustakabali wa pesa yako.Wamenitia hasara hawa voda nilishajikoki mwezi ujao niwe nishaikamata hii simu ila kuweka mateka laki 7 zangu kama walinisaidia kuzitafuta
naona kabisa wanachangia kuushusha huu mzuka wa kumiliki mi 9t
Me Mwanza mwaka juzi nilifungua kwa 10k tu Equity Visa Card ndo natumiaga daily kwa manunuzi ya online japokua na MP_MasterCard nayo natumia mara chache sana... Sikuiz hapa Mwanza wanafungua bure tu hizi Equity kwa mawakala wao mtaani... Kikubwa uwe na kitambulisho tu...Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k
Mkuu hii pesa ndefu mno nenda kwenye vodashop zao ujue mustakabali wa pesa yako.
Hawa equity huwa wanazingua sana ukiwa refunded hela haiingii moja kwa moja mpaka uwacontact. Sijui kama sikuizi wameacha huu upuuzi. Na pia equity wanacharge hela kubwa kwa dola kuliko crdb.Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k
Sikuwahi kufanya muamala huo, na wao walikiri itarudishwa ndani ya masaa 72, kwani ilitolewa kimakosa lakini holaa nikaamua niwaachie tu!
Hongera mkuu! Hawa Voda inabidi wajirekebishe maana si kwa kuizuia pesa yote hiyo.Mkuu nimefanyia kazi ushauri wako
Equity wametengeneza Mastercard kwa haraka mno leoleo nimepata card
Hapa nasubiri voda warudishe hela yangu niihamishie equity bank
Mkuu nimefanyia kazi ushauri wako
Equity wametengeneza Mastercard kwa haraka mno leoleo nimepata card
Hapa nasubiri voda warudishe hela yangu niihamishie equity bank
Mkuu wakati unasubiri pesa irudi. Fanya tena mchakato hapo equity uongeze kiwango cha malipo ya kufanya miamala online maana kadi zao kiwango cha mwisho ni 250000 kwa siku.Mkuu nimefanyia kazi ushauri wako
Equity wametengeneza Mastercard kwa haraka mno leoleo nimepata card
Hapa nasubiri voda warudishe hela yangu niihamishie equity bank
Bado hali ni hiyohiyo ukipata refund ni lazima ukajaze form kwenye tawi lao.Hawa equity huwa wanazingua sana ukiwa refunded hela haiingii moja kwa moja mpaka uwacontact. Sijui kama sikuizi wameacha huu upuuzi. Na pia equity wanacharge hela kubwa kwa dola kuliko crdb.
Hawana transaction fee, bali ni exchange rates tu.Bado hali ni hiyohiyo ukipata refund ni lazima ukajaze form kwenye tawi lao.
Charges zao kwa dollar moja ni around 2440 na point huko ( Nahisi ni pamoja transaction fees) sina hakika sana
Bado hali ni hiyohiyo ukipata refund ni lazima ukajaze form kwenye tawi lao.
Charges zao kwa dollar moja ni around 2440 na point huko ( Nahisi ni pamoja transaction fees) sina hakika sana
Mkuu wakati unasubiri pesa irudi. Fanya tena mchakato hapo equity uongeze kiwango cha malipo ya kufanya miamala online maana kadi zao kiwango cha mwisho ni 250000 kwa siku.
Na wewe naona unataka ufanye muamala wa laki 7 itagoma.
Cc Mr. Mobile
Hawa equity huwa wanazingua sana ukiwa refunded hela haiingii moja kwa moja mpaka uwacontact. Sijui kama sikuizi wameacha huu upuuzi. Na pia equity wanacharge hela kubwa kwa dola kuliko crdb.