Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Equity wazuri sema kwenye issue ya refund. Wasumbufu Sana. Mimi matumi Mpesa MasterCard. Nilitaka kufanya transactions ndio na hamisha mshiko. Nafikiri Mpesa MasterCard ni rahisi zaidi.
 
Sio lazima kujaza form. Mini huwa nawaandikia huduma kwa wateja ukiwa na vielelezo vya muamala wanarudisha pesa yako kwenye akaunti.
Hii njia nilishawai jaribu....lakini sikufanikiwa mpaka nilipoenda kwenye branch yao
 
Hiyo nayo muhimu mkuu narudi kesho
Yaani voda wakirudi wananikuta niko na mbawa juu ya parachuti la Equity
Mkuu wakati unasubiri pesa irudi. Fanya tena mchakato hapo equity uongeze kiwango cha malipo ya kufanya miamala online maana kadi zao kiwango cha mwisho ni 250000 kwa siku.
Na wewe naona unataka ufanye muamala wa laki 7 itagoma.

Cc Mr. Mobile
 
Nataka ninunue hii redmi note 7 pro vipi hii sim ikoje kuanzia camera,mpaka processor yake je naweza kucheza games like pubg bila shida yoyote
 
Husijichanganye miamala mikubwa mkuu
Equity wazuri sema kwenye issue ya refund. Wasumbufu Sana. Mimi matumi Mpesa MasterCard. Nilitaka kufanya transactions ndio na hamisha mshiko. Nafikiri Mpesa MasterCard ni rahisi zaidi.
 
Kamanda ni changamoto za kawaida tu hizo.

Kwangu mpesa master card naona inanirahisishia mambo maana kwenye ili game nilianza na BancABC then equity.
BancABC wana makato yasiyoeleweka na Equity wao shida wanabana refund mpaka mkimbizane mchaka mchaka.
Aidha kuna kipindi nilihamisha pesa toka Tigo pesa kwenda bancabc ikakwama yaani Tigo haipo na BancABC haikuingia na mchakato wa kuirudisha ni Siku 3-7 so kama utatumia hizo bank uwe unadeposit kwenye branch zao.
 
Wakuu pakeji imefika dar tarehe 21, hadi ifike posta ya wilayan mikoani huko inachukua muda gani mana hadi sasa naona kmya.
 
Makato ya mpesa Master card ni asilimia ngapi. Maana Equity ni kama 8% hivi
 
Mkuu kwa sasa purchase zisizozidi laki 1 nitanunua kupitia Voda Mastercard
Zaidi ya hapo bora nitumie bank maana wamenifanyia vibaya sana hiki kipindi
 
Hii sometime inaboa sana. Ila wanadai ni kwa usalama wa pesa zako, kama unataka kadi inayopokea refund direct ipo kadi ya BancABC.
Hao Abc hawana matawi ya kutosha!
Kama mimi nimepanga nipande Arusha karibun nikaichukue kadi yao kwaajl ya online transactions..hlf hata kwa kuweka via mitandao ya simu iko chap tu
 
Hao Abc hawana matawi ya kutosha!
Kama mimi nimepanga nipande Arusha karibun nikaichukue kadi yao kwaajl ya online transactions..hlf hata kwa kuweka via mitandao ya simu iko chap tu
Yep wapo vizuri, hata kupata kadi yao hakuna usumbufu. Sema hizi bank za kigeni hawana matawi mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…