Wana makato Mkuu me ndio naitumia kwenye kufanya manunuzi mtandaoniVoda 4%
Equity nasikia haina makato
Mpesa master card ni 4%Makato ya mpesa Master card ni asilimia ngapi. Maana Equity ni kama 8% hivi
Nakazia hapa wazeeWakuu pakeji imefika dar tarehe 21, hadi ifike posta ya wilayan mikoani huko inachukua muda gani mana hadi sasa naona kmya.
Nakazia hapa wazee
Mbarali, mbeyaMkoa gani na wilaya gani
Mbarali, mbeya
Nani alishatumiwa mzigo kutoka Alibaba maana mm supplier wangu ananiambia nitafute shipping agent mwenyewe, sasa nimewapata SILENT OCEAN, GSM CARGO na TEW lkn wananiambia hawabebi simu na battery
Simu moja si umwambie atumie DHL au Aramex.
Kuna kampuni ya usafirishaji unayoijua?
Hizo simu itakuwa ni ghali sana kwa njia ya ndege sababu zina lithium battery, tafuta fowarder agent wa njia ya bahari wataleta bila shida
Sorry mkuu usinichoke,Inachukua kama siku tano ikitokea Dar
Kwanza fanya hivi ingia website ya Posta (nimeshindwa kuweka link yao maana wakati nakujibu website haikuwa inafunguka). Pili utaenda sehemu ya domestic parcel tracking then utaweka tracking number yako ulipewa aliexpress, utaona location ya parcel ilipo kwasasa.Sorry mkuu usinichoke,
Kama hadi sasa siku kumi zimefika package haijafika wilayan natakiwa kufanyaje?