Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hivi hiki kisimu cha voda smartkitochi kina 4G? Ningependa kujua na specifications zake nyingine na kama kinauwezo wa hotspot.
 
Wakuu Nimejilipua na UMIDIGI POWER 64Gb ROM 4GB RAM

Ni baada ya kumuagiza bosi wangu aliyekuwa Marekani aniletee UMIDIGI A5 Pro naye kuniletea Hii Power.

Bado hajanipa Bei So tuombeane ibadilike iwe zawadi!
 
Wakuu Nimejilipua na UMIDIGI POWER 64Gb ROM 4GB RAM

Ni baada ya kumuagiza bosi wangu aliyekuwa Marekani aniletee UMIDIGI A5 Pro naye kuniletea Hii Power.

Bado hajanipa Bei So tuombeane ibadilike iwe zawadi!

Anakawaida ya kukupa zawadi?
Kama hana jiandae kulipa.
 
Ila kuwa mpole naamini watakuletea tu maana mwanzo niliona walitoa kwa region ya russia, baadae india na leo kwangu
Inaniuma san jana kuna mwamba yuko Dodoma kaipata miui 11 kwenye redmi yake ila kwangu bado anywey gujuzane mkuu n nn hasa ambacho kimeongezeka kwenye miui
 
Hiyo MIUI 11 nilivyosoma features zake ni noma sana mkuu hasa hiyo dark mode na saving model, Kiufupi Itazidi kunogesha matumizi ya hizi simu
hata mimi nasubiri kwa hamu
Inaniuma san jana kuna mwamba yuko Dodoma kaipata miui 11 kwenye redmi yake ila kwangu bado anywey gujuzane mkuu n nn hasa ambacho kimeongezeka kwenye miui
 
Wakuu kati ya hizi kazi ipi iko bomba kuanzia pefomance na vinginevyo,

Chief MkwawaView attachment 1250968View attachment 1250969View attachment 1250970View attachment 1250971
Hizo Realme hazina baadhi ya bands za 4G zinazotumika na mitandao yetu hapa nchini. Bands zake nyingi ni za Asia.

Kwa hapo me nadhani ni Redmi note 8.

Hiyo Lenovo ipo vizuri sana lakini shida ipo kwenye software na battery. Lenovo wanazingua kwenye kutoa updates.

Ila kama ungeweza kuongezea kidogo ni bora uchukue Redmi note 8 pro, nimeona YouTube kwenye performance imeizidi mpaka Mi 9t yenye SND 730.
 
Mi 9t inazidiwa na redmi 8 Pro
Sikulijua hili
 
Kwenye performance Mkuu!

Ila screen,camera (hasa kwenye low light) Mi 9t inaizidi 8 pro.

Lakini kiujumla hatizofautiani sana ukiondoa processor
Shida hii mediatek yaani hata Iwe na nguvu vipi ila bhana li Mediatek ni mediatek tu sina hakika na updates kama atakuwa anapokea kwa baadae huko.

Pia ukiangalia reviews zake wanakwambia ina shida ya ku head kama jiko ukitumia sana.
 
Shida hii mediatek yaani hata Iwe na nguvu vipi ila bhana li Mediatek ni mediatek tu sina hakika na updates kama atakuwa anapokea kwa baadae huko.

Pia ukiangalia reviews zake wanakwambia ina shida ya ku head kama jiko ukitumia sana.
Updates itapokea kama kawaida Mkuu,halafu issue ya heating nimeangalia reviews nyingi wamekanusha sio kweli.

We're sending the Xiaomi Redmi Note 8 Pro to custom ROM and kernel developers

Wengi wana wasiwasi na Mtk chips sababu nyingi hua ni dhaifu na pia nadhani monopoly ya Snapdragon nayo inachangia, Ila kuna baadhi ni nzuri sana hasa hii G90T,nimeona hata Gsmarena na Xda wameisifia sana kwenye review zao

Redmi Note 8 Pro Review: The Mid-Range Performance Champion

Hii video hapa chini ni comparison kati ya Realme X2 yenye Snapdragon 730G vs Note 8 pro yenye G90T,lakini X2 imeonekana inatoa joto jingi kupita note 8 pro yenye mtk

 
Mimi siwezi kuiacha m-pesa master card mpaka nilizwe pesa.
Hivi hapana kwakweli na sidhani Kama ntakuwa na muda wa kwenda benk kufungua physical account kwamaana hii m-pesa master card ni chap kdogo tu na tayari nshafanya manunuzi makubwa tu last two weeks ago.

Nimeununua Xiaomi Redmi7 brand new, nikaagiza lether belt, iPhone earphone brand new, lether wallet, na necklace special kwa demu wangu.Je mpaka hapo nitake Nini Sasa?

Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k
Nachelea kusema kwamba, mpaka ntakapolizwa ndo naacha kuitumia m-pesa master card.View attachment 1251508
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…