Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Nimejilipua na UMIDIGI POWER 64Gb ROM 4GB RAM
Ni baada ya kumuagiza bosi wangu aliyekuwa Marekani aniletee UMIDIGI A5 Pro naye kuniletea Hii Power.
Bado hajanipa Bei So tuombeane ibadilike iwe zawadi!
Boss mbona mie siipati kiongozi wewe umeweka region ganiMIUI 11 imetoka na nime update kwa redmi note 7 yangu leo View attachment 1251116
Au hiyo yako ni global version au global rom. Au chinese version.MIUI 11 imetoka na nime update kwa redmi note 7 yangu leo View attachment 1251116
Yangu ni Chinese Version.. leo mchana yenyewe imeniletea notification ya new updateAu hiyo yako ni global version au global rom. Au chinese version.
Ila kuwa mpole naamini watakuletea tu maana mwanzo niliona walitoa kwa region ya russia, baadae india na leo kwanguBoss mbona mie siipati kiongozi wewe umeweka region gani
Inaniuma san jana kuna mwamba yuko Dodoma kaipata miui 11 kwenye redmi yake ila kwangu bado anywey gujuzane mkuu n nn hasa ambacho kimeongezeka kwenye miuiIla kuwa mpole naamini watakuletea tu maana mwanzo niliona walitoa kwa region ya russia, baadae india na leo kwangu
Inaniuma san jana kuna mwamba yuko Dodoma kaipata miui 11 kwenye redmi yake ila kwangu bado anywey gujuzane mkuu n nn hasa ambacho kimeongezeka kwenye miui
Hizo Realme hazina baadhi ya bands za 4G zinazotumika na mitandao yetu hapa nchini. Bands zake nyingi ni za Asia.Wakuu kati ya hizi kazi ipi iko bomba kuanzia pefomance na vinginevyo,
Chief MkwawaView attachment 1250968View attachment 1250969View attachment 1250970View attachment 1250971
Boss ww yako si redmi 7 hiyo jamaa ni note 7😆 ila utaipata tu.Inaniuma san jana kuna mwamba yuko Dodoma kaipata miui 11 kwenye redmi yake ila kwangu bado anywey gujuzane mkuu n nn hasa ambacho kimeongezeka kwenye miui
Hizo Realme hazina baadhi ya bands za 4G zinazotumika na mitandao yetu hapa nchini. Bands zake nyingi ni za Asia.
Kwa hapo me nadhani ni Redmi note 8.
Hiyo Lenovo ipo vizuri sana lakini shida ipo kwenye software na battery. Lenovo wanazingua kwenye kutoa updates.
Ila kama ungeweza kuongezea kidogo ni bora uchukue Redmi note 8 pro, nimeona YouTube kwenye performance imeizidi mpaka Mi 9t yenye SND 730.
Boss ww yako si redmi 7 hiyo jamaa ni note 7[emoji38] ila utaipata tu.
Kwenye performance Mkuu!Mi 9t inazidiwa na redmi 8 Pro
Sikulijua hili
Shida hii mediatek yaani hata Iwe na nguvu vipi ila bhana li Mediatek ni mediatek tu sina hakika na updates kama atakuwa anapokea kwa baadae huko.Kwenye performance Mkuu!
Ila screen,camera (hasa kwenye low light) Mi 9t inaizidi 8 pro.
Lakini kiujumla hatizofautiani sana ukiondoa processor
Updates itapokea kama kawaida Mkuu,halafu issue ya heating nimeangalia reviews nyingi wamekanusha sio kweli.Shida hii mediatek yaani hata Iwe na nguvu vipi ila bhana li Mediatek ni mediatek tu sina hakika na updates kama atakuwa anapokea kwa baadae huko.
Pia ukiangalia reviews zake wanakwambia ina shida ya ku head kama jiko ukitumia sana.
Nachelea kusema kwamba, mpaka ntakapolizwa ndo naacha kuitumia m-pesa master card.View attachment 1251508Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k