Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Vp mkuu redmi note 8 ambayo ni global rom kwa upande wa bands inakuaje??
 
Wakuu jana nimepata update ya MIUI 11 kwenye redmi note 7 nime update fresh.

Sasa nina simu nyingine note 7 pro sijapata update ushauri nifanyeje nipate update au manually nawekaje?

Cc: CHIEF MKWAWA
Mr. Mobile
 
Update zinakuja in batches so subiri tu itakuja ikiwa tayari
Or try kuchange region to india inaweza pata maana india huwa inapewa update mapema japokuwa sio guarantee
 
Niliagiza kwa Mpesa MasterCard Redmi Note 7 kwa France miezi miwili na nusu iliyopita wameshindwa kutuma mzigo nikafungua dispute na hela imerudi chap kwa Mpesa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ninyi mnapataje hizo mi note 8 global version maana mie kila ninayoona ni Global Rom. Mwenye link anisaidie maana hapa nipo njiapanda nataka kati ya note 8 global au mi a3 au samsung s7 edge. Ninunie kwenye offer ya 11.11
 
Nimejaribu kubadili region ila bado hakuna kitu, labda nivute subira au kuna option tena?
 
Niliagiza kwa Mpesa MasterCard Redmi Note 7 kwa France miezi miwili na nusu iliyopita wameshindwa kutuma mzigo nikafungua dispute na hela imerudi chap kwa Mpesa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hawa France nao ni miyeyusho
 
Hivi ninyi mnapataje hizo mi note 8 global version maana mie kila ninayoona ni Global Rom. Mwenye link anisaidie maana hapa nipo njiapanda nataka kati ya note 8 global au mi a3 au samsung s7 edge. Ninunie kwenye offer ya 11.11
Kama bajeti inaruhusu chukua hii simu.
 
Hapo S7 edge ni best kama utanunua brand new
Hivi ninyi mnapataje hizo mi note 8 global version maana mie kila ninayoona ni Global Rom. Mwenye link anisaidie maana hapa nipo njiapanda nataka kati ya note 8 global au mi a3 au samsung s7 edge. Ninunie kwenye offer ya 11.11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…