Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hizo Realme hazina baadhi ya bands za 4G zinazotumika na mitandao yetu hapa nchini. Bands zake nyingi ni za Asia.

Kwa hapo me nadhani ni Redmi note 8.

Hiyo Lenovo ipo vizuri sana lakini shida ipo kwenye software na battery. Lenovo wanazingua kwenye kutoa updates.

Ila kama ungeweza kuongezea kidogo ni bora uchukue Redmi note 8 pro, nimeona YouTube kwenye performance imeizidi mpaka Mi 9t yenye SND 730.
Vp mkuu redmi note 8 ambayo ni global rom kwa upande wa bands inakuaje??
 
Wakuu jana nimepata update ya MIUI 11 kwenye redmi note 7 nime update fresh.

Sasa nina simu nyingine note 7 pro sijapata update ushauri nifanyeje nipate update au manually nawekaje?

Cc: CHIEF MKWAWA
Mr. Mobile
 
Update zinakuja in batches so subiri tu itakuja ikiwa tayari
Or try kuchange region to india inaweza pata maana india huwa inapewa update mapema japokuwa sio guarantee
 
Mimi siwezi kuiacha m-pesa master card mpaka nilizwe pesa.
Hivi hapana kwakweli na sidhani Kama ntakuwa na muda wa kwenda benk kufungua physical account kwamaana hii m-pesa master card ni chap kdogo tu na tayari nshafanya manunuzi makubwa tu last two weeks ago.

Nimeununua Xiaomi Redmi7 brand new, nikaagiza lether belt, iPhone earphone brand new, lether wallet, na necklace special kwa demu wangu.Je mpaka hapo nitake Nini Sasa?

Nachelea kusema kwamba, mpaka ntakapolizwa ndo naacha kuitumia m-pesa master card.View attachment 1251508View attachment 1251509View attachment 1251510View attachment 1251511View attachment 1251513
Niliagiza kwa Mpesa MasterCard Redmi Note 7 kwa France miezi miwili na nusu iliyopita wameshindwa kutuma mzigo nikafungua dispute na hela imerudi chap kwa Mpesa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ninyi mnapataje hizo mi note 8 global version maana mie kila ninayoona ni Global Rom. Mwenye link anisaidie maana hapa nipo njiapanda nataka kati ya note 8 global au mi a3 au samsung s7 edge. Ninunie kwenye offer ya 11.11
 
Update zinakuja in batches so subiri tu itakuja ikiwa tayari
Or try kuchange region to india inaweza pata maana india huwa inapewa update mapema japokuwa sio guarantee
Nimejaribu kubadili region ila bado hakuna kitu, labda nivute subira au kuna option tena?
 
Niliagiza kwa Mpesa MasterCard Redmi Note 7 kwa France miezi miwili na nusu iliyopita wameshindwa kutuma mzigo nikafungua dispute na hela imerudi chap kwa Mpesa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hawa France nao ni miyeyusho
 
Hivi ninyi mnapataje hizo mi note 8 global version maana mie kila ninayoona ni Global Rom. Mwenye link anisaidie maana hapa nipo njiapanda nataka kati ya note 8 global au mi a3 au samsung s7 edge. Ninunie kwenye offer ya 11.11
Kama bajeti inaruhusu chukua hii simu.
2DA41FDEE31CECFD.jpeg
 
Hapo S7 edge ni best kama utanunua brand new

Back
Top Bottom