Hii uliinunua wapi, kwa ngp? First time nimezijua nliishika Mi4 ya mshkaji, nkaichukulia poa, kucheck details zake sasa ndo ikantia uchizi. I think i need one. Nmependa sana betry life, hizi Mix 2 ni balaa! Pia if i can find mi5 nmependa show yakeOk mi npo umu
Huu mzgo nlimuagiza jamaa yangu alitoka china wiki kadhaa zilizopita ....nilimuagza kutokana na yshawush nilioupata humu JF na wadau mbalimbaliHii uliinunua wapi, kwa ngp? First time nimezijua nliishika Mi4 ya mshkaji, nkaichukulia poa, kucheck details zake sasa ndo ikantia uchizi. I think i need one. Nmependa sana betry life, hizi Mix 2 ni balaa! Pia if i can find mi5 nmependa show yake
Oky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.Huu mzgo nlimuagiza jamaa yangu alitoka china wiki kadhaa zilizopita ....nilimuagza kutokana na yshawush nilioupata humu JF na wadau mbalimbali
Mtafute jamaa anaitwa Mwl.RCT atakujuza mengi tuOky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
Pamoja sana mzeeMtafute jamaa anaitwa Mwl.RCT atakujuza mengi tu
35000/=Hizo bei gani msauzia
Haya poa kaka nimekupata duuh hii dunia ina vitu vingi vizuri aiseee35000/=
Du, hatari sna aiseeeeGalaxy s8 ina ram 4GB hii ina 8GB
Nop...uschukue Mi 4 kwa ushauri wnguOky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
Kama una budget ya wastani kuanzia 280k-350k. Chukua Xiaomi Redmi Note 4x hautojuta mkuu.Oky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
Redmi note 4x 3g ram, 16gb rom, snapdragon 625, 5.5" screen, black, nimeagiza last week kwa 296,673 TZS = $125.99 USD, bei zinatofautiana kutokana na rom, ram na rangi ya simu.weka bei halisi sasa sio kuanzia tutashindwa fanya biashara
Shukran sana mkuu [emoji120]Kama una budget ya wastani kuanzia 280k-350k. Chukua Xiaomi Redmi Note 4x hautojuta mkuu.
Hivi unanunulia gearbest au store gani!?Kama una budget ya wastani kuanzia 280k-350k. Chukua Xiaomi Redmi Note 4x hautojuta mkuu.
Gearbest niliwai kuwatumia, lakini kwa siku za karibuni nanua kupitia aliexpress na banggood.Hivi unanunulia gearbest au store gani!?
Hii uliinunua wapi, kwa ngp? First time nimezijua nliishika Mi4 ya mshkaji, nkaichukulia poa, kucheck details zake sasa ndo ikantia uchizi. I think i need one. Nmependa sana betry life, hizi Mix 2 ni balaa! Pia if i can find mi5 nmependa show yake
Oky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
Kwa taratibu za kuagiza simu za pitia hii thread:Mtafute jamaa anaitwa Mwl.RCT atakujuza mengi tu
https://xiaomiretail.aliexpress.com/store/2783207
Mkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.Huu mzgo nlimuagiza jamaa yangu alitoka china wiki kadhaa zilizopita ....nilimuagza kutokana na yshawush nilioupata humu JF na wadau mbalimbali