Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ok mi npo umu
eca14d030af9d6c16b2fe7bc60b92666.jpg
Hii uliinunua wapi, kwa ngp? First time nimezijua nliishika Mi4 ya mshkaji, nkaichukulia poa, kucheck details zake sasa ndo ikantia uchizi. I think i need one. Nmependa sana betry life, hizi Mix 2 ni balaa! Pia if i can find mi5 nmependa show yake
 
Huu mzgo nlimuagiza jamaa yangu alitoka china wiki kadhaa zilizopita ....nilimuagza kutokana na yshawush nilioupata humu JF na wadau mbalimbali
 
Oky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
 
Nop...uschukue Mi 4 kwa ushauri wngu
First thing Mi4 ni single SIM card...kama uko njema chukua Redmi 4x , Mi 5, au Mi Mix kama ya mkuu apo juu
 
kwa hio bei ya chini ni sh ngapi na kwa simu yenye specification zipi
 
Hii uliinunua wapi, kwa ngp? First time nimezijua nliishika Mi4 ya mshkaji, nkaichukulia poa, kucheck details zake sasa ndo ikantia uchizi. I think i need one. Nmependa sana betry life, hizi Mix 2 ni balaa! Pia if i can find mi5 nmependa show yake
Oky, price ake kwa kule kama ngapi? Maana nlitaka anza na hii mi4 ya mshikaji.
Mtafute jamaa anaitwa Mwl.RCT atakujuza mengi tu
Kwa taratibu za kuagiza simu za pitia hii thread:
Code:
https://xiaomiretail.aliexpress.com/store/2783207
 
Kwa anayehitaji na yuko serious nauza xiaomi redmi note4 rose gold 16gb chinese version.Haina tatizo lolote sababuya kuiuza mimi si mtu ambaye nakaa sehemu ambazo umeme ni wa uhakika kivile nashinda site mda mrefu zaidina chinese version ukaaji wake wa chaji ni wa wastani kama tekno tofaut na global version so mwenye uhitaji anicheki hapa 0713131823 bei n laki tatu
 
Huu mzgo nlimuagiza jamaa yangu alitoka china wiki kadhaa zilizopita ....nilimuagza kutokana na yshawush nilioupata humu JF na wadau mbalimbali
Mkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.

Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.

Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.

Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.
 
Back
Top Bottom