Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Vp mkuu, umejaribu kadi ya Airtel Money MasterCard?Bado nawakubali Mpesa pamoja na kisanga kilichomkuta BANGO JEUPE .
View attachment 1257973
View attachment 1257975
Virtual card ime expire ila mpunga umerudi fresh tu.
View attachment 1257982
Hawa Equity na BanCAbc wacha wabaki kabatini Isee.
View attachment 1257993
Vp mkuu, umejaribu kadi ya Airtel Money MasterCard?
Mimi nimejiweka kwa Note 8 ipo njiani naisubiri, Sijataka kukosa utamu wa MIUI. Japo A3 ni cheap kuliko Note 8.Mr mobile nipe mchango wako hapa
Kati ya Mi A3 na redmi note8 nijitose wapi???
sijajaribu kamandaVp mkuu, umejaribu kadi ya Airtel Money MasterCard?
Xiaomi Mi Note 10 (CC9 Pro) 108MP Penta Camera 6GB 128GB MIUI 11 Qualcomm Snapdragon 730G.
Around TZS 1,128,000
Mimi nimejiweka kwa Note 8 ipo njiani naisubiri, Sijataka kukosa utamu wa MIUI. Japo A3 ni cheap kuliko Note 8.
Ikiwa AMOLED display na In Display Fingerprint sensor ni vitu unavyopenda chukua Mi A3 lakini ujue resolution yake ni ndogo 720p wakati Note 8 ina 1080p.Mr mobile nipe mchango wako hapa
Kati ya Mi A3 na redmi note8 nijitose wapi???
Hapana mkuu. Nimecheki kwenye website mbalimbali ila inaweza kuwa juu ya hapo. Maana bei waliyoitaja kule Madrid ni €549 yenye 6+128GB na €649 yenye 8+256GB.Bei hii ni ya AliExpress?
Naomba unionyeshe mautamu ya MIUI ni yapi?Ngoja nitaichukua hii kwa ajili ya MIUI
Hata Aliexpress ni mil 1.2 tu kwa Mi franceBei hii ni ya AliExpress?
Hujakosea ndio bei pia ya AliexpressXiaomi Mi Note 10 (CC9 Pro) 108MP Penta Camera 6GB 128GB MIUI 11 Qualcomm Snapdragon 730G.
Around TZS 1,128,000
Hii ya mil 1.6 kwa Mi france ni premium version. Lakin anayo pia kwa bei ya mil 1.2 tembelea page yake uone, au seach note 10 zije zote zilizopo hapo A-xpsMi France store inauzwa milioni na laki 6
Hapana mkuu. Nimecheki kwenye website mbalimbali ila inaweza kuwa juu ya hapo. Maana bei waliyoitaja kule Madrid ni €549 yenye 6+128GB na €649 yenye 8+256GB.
N.B kwa china bei inaweza kuwa pungufu zaidi.
Hata Aliexpress ni mil 1.2 tu kwa Mi franceHujakosea ndio bei pia ya AliexpressHii ya mil 1.6 kwa Mi france ni premium version. Lakin anayo pia kwa bei ya mil 1.2 tembelea page yake uone, au seach note 10 zije zote zilizopo hapo A-xps
Pale JNIA kuna shida sana ila kama wamejua tatizo uwe na tumaini utafika tu.Wakuu hivi mzigo Wangu utakuwa umepigwa hapa au... Maana nilinunua Redmi note 7 64gb, 6 ram
Lakini haijafika mpaka sasa, tangu nimenunua mwezi uliopita tarehe 11.
Huyu jamaa wa posta Dar kanicheki ndio Kanipa hili jibu.
Naomba uzoefu maana katika tracking mzigo unaonesha haujafika Tanzania. Kwa uzoefu wangu ilitakiwa ufike mpaka nilipo lakini hili jibu limenistua sana. Maana upigaji wa mzigo umerudi au nini hii.
View attachment 1258621
Wakuu hivi mzigo Wangu utakuwa umepigwa hapa au... Maana nilinunua Redmi note 7 64gb, 6 ram

Aisee niko hapa nasikia hadi njaa nimeagiza hiyo hiyo rn7 na tarehe kama yako ila nikiangalia tracking haina update yoyote,,,,hata sijui inakuaje
Aisee niko hapa nasikia hadi njaa nimeagiza hiyo hiyo rn7 na tarehe kama yako ila nikiangalia tracking haina update yoyote,,,,hata sijui inakuaje
subiri ifike posta, joto litapanda zaidiAisee niko hapa nasikia hadi njaa nimeagiza hiyo hiyo rn7 na tarehe kama yako ila nikiangalia tracking haina update yoyote,,,,hata sijui inakuaje