Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Umepata vipi mkuu maana mimi RN7 yangu hadi leo kimya
Timetable
miui-11-release-date-728x415.jpeg
 
Xiaomi kwa sasa anafeli aanze kuwa anatulia kwa mda ndio anatoa kitu
Kwa upande wako angalia unapendelea series gani za Mi product,wala usifadhaike moyoni mwako[emoji23][emoji23]
Mfano mimi nipo interested sana na "Redmi note series" hizo nyingne wala hazinizuzui(issue ni kipato nabaki kula kwa macho[emoji23])

Ukiangalia kila kampuni inafyatua simu nyingi ili afadhari i win kiasi flani cha market share
Ushindani ni mkali sana kwenye soko,akilala atapitwa
 
Kibaya cha simu unainunua unakufa unaiacha duniani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jamaa yangu kaacha iPhone 6+ bado mpya na kalala usingizi wa mauti imeniuma sana [emoji24][emoji24]
 
Kaka ndio dunia hiyo usijali vyote tutaviacha hapa hapa duniani
 
Sasa unazani ataenda na nini huko
Uhai ni starehe kupata kile nafsi inaridhika,
wakati wengine wakipigana kubadili magari mimi pesa zangu Namalizia kwenye Model za simu
Yaani ndo najisikia fahari kweli kweli nikimiliki simu yenye teknolojia latest

Nashinda utube kulinganisha simu, nikiridhika najivuta mwisho wa siku nanunua

Wenye magari makali wote naona kabisa nimewakalisha [emoji3]
Kibaya cha simu unainunua unakufa unaiacha duniani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jamaa yangu kaacha iPhone 6+ bado mpya na kalala usingizi wa mauti imeniuma sana [emoji24][emoji24]
 
Sasa unazani ataenda na nini huko
Uhai ni starehe kupata kile nafsi inaridhika,
wakati wengine wakipigana kubadili magari mimi pesa zangu Namalizia kwenye Model za simu
Yaani ndo najisikia fahari kweli kweli nikimiliki simu yenye teknolojia latest

Nashinda utube kulinganisha simu, nikiridhika najivuta mwisho wa siku nanunua

Wenye magari makali wote naona kabisa nimewakalisha [emoji3]
Hii tunaita kipendacho roho. Kila mtu ana starehe yake ulimwenguni, sisi starehe yetu ni tech.
 
Hata Mimi Mkuu naona kimyaaa..
Ingia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.
Then rudi kwenye About phone>System update. Hapo kwenye system update uwe unajaribu ku-search new updates mara kwa mara huku region yako ikiwa ni India.

Unayafanya haya ukiwa online.
Njia hiyo ndo imenisaidia mimi kupata update kwenye RN7P
Screenshot_2019-11-07-08-50-38-450_com.android.settings.jpeg
 
Ingia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.
Then rudi kwenye About phone>System update. Hapo kwenye system update uwe unajaribu ku-search new updates mara kwa mara huku region yako ikiwa ni India.

Unayafanya haya ukiwa online.
Njia hiyo ndo imenisaidia mimi kupata update kwenye RN7P View attachment 1256145
Kuna simu hapa nimepata updates jana, na region niliweka TZ
 
Attachments

  • IMG-20191106-WA0026.jpg
    IMG-20191106-WA0026.jpg
    12 KB · Views: 1
Ntakupa mrejesho maana mi nishasahaulika
Ingia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.
Then rudi kwenye About phone>System update. Hapo kwenye system update uwe unajaribu ku-search new updates mara kwa mara huku region yako ikiwa ni India.

Unayafanya haya ukiwa online.
Njia hiyo ndo imenisaidia mimi kupata update kwenye RN7P View attachment 1256145
 
Njoo uagizie wilaya niliyopo...huku hata ukiagiza gunia la mahindi kutoka China utalipata bure.
Ajabu nimetoka leo nimewap truck no. Wakachek wakaona ushapewa ila bado haujaruhusiwa kutoka.na umepewa ile ya RDP yaana hapo nakutana na bwana tra na mzigo wenyee ni mdogo tu,ajabu mingine ya ukubwa zaidi ya huwa nimepewa no. Za kawaida yaan kutolipia kodi.Hapo nimewaachia kwanza wakae nao maana kwa ss naona wametuamulia tuache kuagiza vitu nje.
 
Back
Top Bottom