Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Eeeeh wameleta update
Screenshot_2019-11-06-14-15-19-236_com.android.updater.jpeg
Screenshot_2019-11-06-14-20-24-668_com.android.updater.jpeg
 
Mimi kama mzoefu wa kuangiza kwazaidi ya 7yrs naona kinachowasumbua watu wengi hapa ni kukosa uvumilivu, ugeni ambao wengi ulitukuta na kingine kutokufanya utafiti wa baadhi ya mambo kabla huja- place order mfano kuangalia mapendekezo ya waliokwisha kununua kutoka kwa huyo seller.
 
Hakika ulichosema ni sahihi kabisa. Muda mwingi watu wanarudia pia aina ya maswali au hoja ambazo zimekwisha jadiliwa kwenye post zilizopita. Tujifunze kupitia nyuzi za awali.
 
Haya ndugu yenu Xiami katoka na mi Note 10[emoji3][emoji3] mkanunue. Karuka mi note 9. Pitien youtube muione ina camera megapixel 108. Camera 5, amoled screen
Kwa specifications hizi ingekuwa samsung ingeuzwa hata mil 3
 
Attachments

  • Screenshot_20191106-161043.png
    Screenshot_20191106-161043.png
    265.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom