Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Daah ina stua Sana... Mwaka juzi wakati nimeanza kununua vitu AliExpress mwezi Kama wa 11 hivi nilinunua simu 2 hivi kipindi hicho Xiomi zipo juu kweli. Nilitupa Kama 500$ daah yaani mzigo unaonesha umefika Tanzania lakini mwisho wa siku naambiwa na watu WA posta bag lilokuwa na mzigo Wangu kuna baadhi ya mzigo imepotea ikiwemo wangu. Sasa sijaelewa hii tracking number huwa inasoma vipi?

Kwa hiyo Kama mzigo hata ukipotea huko njiani tracking number ita confirm vipi mzigo umefika hapa Tanzania.? Nafikiri watu wa shipment ya Tanzania ndio Wana confirm kwenye system.

Ila naona miezi hii ndio mizigo mingi hupotea Sana kuliko miezi mingine sijui kwanini?

 
Hiyo imeshawai kunitokea so Afsa pale posta Mpya alijaza form fulani na kuzituma Singapore post pia nakala nikapewa niupload AE kama evidence ili wanirefund.
Yaani Dispatch(Bag) linakuwa na item nyingi ila inatokea mzigo wako wanausahau kutumbukiza kwenye bag husika huko ulikotumwa ingawa kwenye orodha unakuwepo,
Hilo fuko ndiyo linatrackiwa so why tracking inaonyesha mzigo ushafika destination country ila kiuhalisia mzigo wako unakuwa haupo kwenye bag.
sijui kama nimeeleweka hapa
 
Basi wengi packages zetu zitakuwa zimepotea kwa mpango huo
 
Umeeleweka. Hata mimi waliniambia wametuma missing report kwenda singapore post
 
Nitazama kwa rn8 kesho sale itakapoanza,,,,Shukran kwa mchango wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…