Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa taarifa ni kiwa Posta zote sasa wamepewa maelekezo kila parcel itatozwa ada[emoji119] tsh. 2000plus/percel
 
Msaada kwa wale watumiaji wa mpesa master card
Je nikifanya refund naweza itoa pesa yangu kwa kutumia mpesa?
 
Jombaa vp mzigo ulifanikiwa kupata?
Bado, kufungua dispute wanasema package bado ipo in transit hivyo nisubiri had tareh 18 ambao ndio muda wa seller protection.
Lakini najua huo mzigo ulishafika bongo wajanja itakuwa wameruka nao tu.
 
Sema jamaa ana presha sana huo mzigo bado hata deadline haijafika. Ukiwafata posta Tanzania unadhani watasemaje, kwanza wengine pale huwa hawajielewi hata. Mzigo kuwa na hakika haujafika ni siku 60 zimeisha lakini tracking inaonesha departed country of orgin, haujatua bongo bado utasemaje umeibwa? Mie nna mzigo wa mwezi wa 10 mwanzoni kabisa kabla ya mzigo wake, na haujafika. Nimetulia tu
Mkuu unakosea wapi aiseee mbona kama huna bahati na hizi online market

Pole sana kwa madhila unayo kutana nayo.
 
Inategemea sasa na njia uliyosafirishia mkuu. Kwa Singapore Post Registered Air Mail/ Parcel, mara nyingi mzigo unafika nchini ndani ya siku 30 tangu mzigo utumwe, kama haujafika lazima uwe na wasiwasi.
Sema jamaa ana presha sana huo mzigo bado hata deadline haijafika. Ukiwafata posta Tanzania unadhani watasemaje, kwanza wengine pale huwa hawajielewi hata. Mzigo kuwa na hakika haujafika ni siku 60 zimeisha lakini tracking inaonesha departed country of orgin, haujatua bongo bado utasemaje umeibwa? Mie nna mzigo wa mwezi wa 10 mwanzoni kabisa kabla ya mzigo wake, na haujafika. Nimetulia tu
 
Yaani wanazingua sana. Kama update ya mwisho ilipata Singapore so next najua Dar..au jamani kuna mahali mizigo inapita baada ya Singapore. Maana kuna kipindi nilisikia wakenya naipiga sana mizigo pale airport.
Bado, kufungua dispute wanasema package bado ipo in transit hivyo nisubiri had tareh 18 ambao ndio muda wa seller protection.
Lakini najua huo mzigo ulishafika bongo wajanja itakuwa wameruka nao tu.
 
Credit Credit to Mr. Mobile

Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.

Leo hii nimeiweka mkononi.

Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.

Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.

Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.

Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma

Leo hii nimeupokea Manyoni.

Badae kidogo nitatuma picha.

Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.

Thanks a lot Mr. Mobile

Mungu akubariki.
 
Uliagiza kwa Mr. Mobile?

Ulikuwa wahi chapu aise .

Tuma picha nasisi tuone kama inavutia
 
Back
Top Bottom