skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 577
Niko mkoani huku mkuu em nisaidie nawasilianaje na watu wa posta?Hapo inadepend na seller. Pia kutokana na mzigo na shipment unayotumia. Huo ni mzigo Wangu lakini nimewacheki posta wamesema package missed.View attachment 1261257
Nimelipa jana 2350 per parcel Kijitonyama Post officeKwa taarifa ni kiwa Posta zote sasa wamepewa maelekezo kila parcel itatozwa ada[emoji119] tsh. 2000plus/percel
Msaada kwa wale watumiaji wa mpesa master card
Je nikifanya refund naweza itoa pesa yangu kwa kutumia mpesa?
Hapo posta dar kutakuwa na wezi wengi sana
Bado, kufungua dispute wanasema package bado ipo in transit hivyo nisubiri had tareh 18 ambao ndio muda wa seller protection.Jombaa vp mzigo ulifanikiwa kupata?
Mkuu unakosea wapi aiseee mbona kama huna bahati na hizi online marketHapo inadepend na seller. Pia kutokana na mzigo na shipment unayotumia. Huo ni mzigo Wangu lakini nimewacheki posta wamesema package missed.View attachment 1261257
Mkuu unakosea wapi aiseee mbona kama huna bahati na hizi online market
Pole sana kwa madhila unayo kutana nayo.
Sema jamaa ana presha sana huo mzigo bado hata deadline haijafika. Ukiwafata posta Tanzania unadhani watasemaje, kwanza wengine pale huwa hawajielewi hata. Mzigo kuwa na hakika haujafika ni siku 60 zimeisha lakini tracking inaonesha departed country of orgin, haujatua bongo bado utasemaje umeibwa? Mie nna mzigo wa mwezi wa 10 mwanzoni kabisa kabla ya mzigo wake, na haujafika. Nimetulia tu
Mkuu naomba ufafanuzi hapa.View attachment 1260411
Na kipi natakiwa kufanya ili isitokee longolongo yoyote kweny iyo dispute
Niko mkoani huku mkuu em nisaidie nawasilianaje na watu wa posta?
Bado, kufungua dispute wanasema package bado ipo in transit hivyo nisubiri had tareh 18 ambao ndio muda wa seller protection.
Lakini najua huo mzigo ulishafika bongo wajanja itakuwa wameruka nao tu.
Credit Credit to Mr. Mobile
Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.
Leo hii nimeiweka mkononi.
Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.
Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.
Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.
Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma
Leo hii nimeupokea Manyoni.
Badae kidogo nitatuma picha.
Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.
Thanks a lot Mr. Mobile
Mungu akubariki.
Credit Credit to Mr. Mobile
Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.
Leo hii nimeiweka mkononi.
Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.
Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.
Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.
Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma
Leo hii nimeupokea Manyoni.
Badae kidogo nitatuma picha.
Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.
Thanks a lot Mr. Mobile
Mungu akubariki.
Hapo inadepend na seller. Pia kutokana na mzigo na shipment unayotumia. Huo ni mzigo Wangu lakini nimewacheki posta wamesema package missed.View attachment 1261257
Updated.. nimepata leo kwenye email mzigo umefika Tanzania. So haujapotea aise. Nilipanic Sana.
Tuma picha nasisi tuone kama inavutiaCredit Credit to Mr. Mobile
Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.
Leo hii nimeiweka mkononi.
Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.
Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.
Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.
Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma
Leo hii nimeupokea Manyoni.
Badae kidogo nitatuma picha.
Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.
Thanks a lot Mr. Mobile
Mungu akubariki.