Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Pamoja mkuu kimsingi nilikuwa nimechoka tu si kingine, ahsante kwa maneno ya hekima...by they nikutakie jpili njema
You guys mnenifurahisha mlivyojibizana, na hivi ndivyo ambavyo real gentleman wanapaswa kua. Nyuzi nyingine pangewaka moto, mbarikiwe kwa hekima na busara zenu wakuu.
 
Sio kwel mkuu..mimi natumia sanduku la posta tena la wazeee wa kazi kila j4 na ijumaa mizigo inapokelewa na na 2300 inalipwa kama kawa..
iyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
 
Unieleweshe! Maana ake nini au ndo siku 60 za protection zinaisha ni open dispute.. [emoji116][emoji116]
 
Ungekuwa mvumilivu kwa hii pesa ungekuwa na simu yenye spec. Kali mkuu.


But enjoy. Ndio matumizi ya pesa [emoji16][emoji16][emoji16]
Unavyotumia pesa ndivyo unavyojaaliwa kupata akili ya kusaka nyingine zaidi...! Sio unatunza pesa bank hazina faida kwako ila unafaidisha wenye bank [emoji16][emoji16], Tumia pesa kwa mambo unayotamani kuwa nayo ili roho yako itakate hayo ndo matumizi ya pesa sio unajinyima mpaka roho inanyong'onyea hadi unajionea huruma,,,, Mwishoe unaugua bure kwa msongo wa mawazo... [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…