Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio utaratibu wangu miaka yote tena nafungulia pale pale posta siyo homeKwa watu mnaonunua bidhaa za bei kubwa kutoka AliExpress: ningependa kuwa sisitizia muwe mnajilinda kwa kurekodi unboxing zenu. Kama mimi kwa mfano, nikipokea mzigo wangu toka posta siufungui, nafika home, nachukua simu yangu naiweka kwenye kaangle flani then naanza kufungua box na kutoa kitu kimoja baada ya kingine hadi kujiridhisha.
Hii itakupa ulinzi kama bidhaa itakuwa na issue, umetumiwa box tupu n.k maaana ukifungua dispute na kuambatanisha video hiyo utaaminika zaidi. Ma seller wengi sio watu wazuri kule.
Used= imetumikaRUFUBISHED NA USED KUNA UTOFAUI GANI?
Baada ya kuipata redmi note 7 ,
sasa nakwenda kujilipua na kitu cha MI A 3 kwa sababu hizi:
Amoled display
Selfie kali
Ukaaji wa chaji
Na jinsi ni rahisi kushikika mkononi
Hiyo redm note 7 nimeishika juzi, sijawah ishika zaidi ya kuona yutubu tuu..ni simu moja makin sanaJ5 = Wednesday itakua ime fika ivo nitaifungua mwenyew
Yaaan unboxing man
Sim ni Redmi Note7
mkuu hii kitu ime fika janaHiyo redm note 7 nimeishika juzi, sijawah ishika zaidi ya kuona yutubu tuu..ni simu moja makin sana
picha ya boksi ime pigwa na tecno pop2 msije nikaba wazee na ivo vichenga chengamkuu hii kitu ime fika jana
ime nitoka 400K
uzuri nili muagiza mtu direct apa na enjoy tu hata mikeka itakua ina tick vzuri [emoji23][emoji23]
View attachment 1268612View attachment 1268613
Mzee tumeingia cha kike
Now enjoy a new experience!mkuu hii kitu ime fika jana
ime nitoka 400K
uzuri nili muagiza mtu direct apa na enjoy tu hata mikeka itakua ina tick vzuri![]()
Safi! Mkuu nipe tracking app nzuri kuliko zote maana natumia track24 hapaZitakuja kikubwa nikupunguza presha. Pili uwe na app zaidi ya mbili za kufanya tracking. Huwa zinasoma tofauti tofauti. Binafas na tracking app 4. Alafu online na track kwa kutumia web ya posta Tanzania upande wa international, status zake huwa zina maelezo mazuri zaidi. Kuna tracking zinatoa maelezo ya juma jumla.
Kwa mfano, kuna tracking mzigo ukifika nchini, zinaandika tu, arrived at local distribution, zingine zinasema parcel at destination country, nyingine inakupa maelezo kabisa. Dar es salaam inward office of exchange nk nk
Mfano wa pili, ukitrack aliexpress wenyewe mzigo uliokuja kwa singapore post. Inaganda tangu siku inapoondoka china rasmi, watakujuza tu "left the country of orginal" hapo watakupa update ikitua dar. Lakini ukiu track kwenye app nyingine utaonesha mzigo umeenda mpaka Singapore, pale ukitoka unaambia "shipped by postal admin overseas to DAR/TZ" [emoji3][emoji3]
Uzoefu raha bana. Na ukizoea online unaagiza hadi pencil kwa bei ambayo ungepata Bongo
App gani hii? [emoji848]View attachment 1268732
Kuna hii app iko poa sana.. inaonyesha hadi Map na route zote
Nimepokea update.View attachment 1268814
[emoji50][emoji50] hizi simu kumbe unaweza set all sim zikawa zinatumia LTE at the same time!!!?Tuko pamoja mkuuView attachment 1268885
[emoji50][emoji50] hizi simu kumbe unaweza set all sim zikawa zinatumia LTE at the same time!!!?
Wadau humu hamna ambae alishaitumia hii MI A3 ?
Wadau humu hamna ambae alishaitumia hii MI A3 ?