Hao China registered mail ni konyo[emoji3][emoji119] tracking itacheza hapo baijing mpk ukome. Kuna mzigo nimepata jana ulikaa almost two months. Ulipo left country of orgin, status iliganda mwezi mzima. Jumlisha seller alichelewa kuship kama wiki 3 aisee, ukiwa huna roho ngumu utawaza refund kila siku. Ila binafs uwa navumilia hadi tone la mwisho ctakagi pesa yangu ikatwe kwenye ma refund.
Niliwai kuwa na mzigo ziliisha siku 60, seller akaomba wiki 3 nikampa. Mzigo ukafika.
Singapore ni the best, ukisoma tu status shipped overseas TZ/DAR ndani ya siku 5 -9 unaambiwa arrived dastination country