Sasa ninayokwambia nilitumiwa ni simu. Umidig ya 99usd
Kwanza mzigo ukishatua dar, ukasikaniwa umefika salama, hauibiwi tena. Maana kumpata mfanyakazi alieiba ni rahsi. Pili sisi wengine tushajenga mazoea na wahudumu wa posta, huku mkoani wahudumu ni wawili tu usipomkuta huyu unamkuta yule. Tumekuwa marafiki, anaanzaje kukuibia? Cku hizi mie tracking ikisoma tu mzigo umefika na dada anapiga simu kaka mzigo wako mwingine umekuja.
Tatizo hamjui kwenda nao sawa wawafae kwenye shida pia. Mtu anakupa mizigo daily hata 100 ya soda humpi. Hapa nasafiri wiki ijayo, na nimeagiza simu. Dada kasema ikifika tu nakufowadia[emoji3] kuna kipindi alinitunzia kabisa zaidi ya mwezi.