SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Features za MIUI 11
Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.
Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.Inafanyaje?
Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.